Week End Specal! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Week End Specal!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kisima, Nov 26, 2011.

 1. Kisima

  Kisima JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 3,768
  Likes Received: 2,228
  Trophy Points: 280
  Wapendwa wana MMU hasa ınfıdelıcıous naomba tuıtafakarı hıı sms alotumıwa ınf.mwenzenu;
  "Enough is enough, kumbe ambacho huwa unakifanya ni makusudi, unafanya huku ukicheka, nimeshangaa sana na umenisikitisha sana, sijajua ujasili unapata wapi eti kati ya wake zangu huyu naye ni mke wangu, naomba usiludie hiyo kauli, my status si ya kupangwa foleni na wanawake, na kwa lipi na kipi ulichonifanyia hadi utamke hivyo, what i know unaiba naiba, hakuna mtu atakaye oa au kuolewa hapa, umenidhalilisha sana na nimesikitika sana, jinsi ulivyo si wakuongea upumbavu, na kuanzia mda huu na siku hii nikipokea simu yako au kukaa na wewe tena naomba nilaaniwe maana nimechoka kila siku mauzi unajifanya.unaomba msamaha kumbe wa kinafki, Najuta kukufahamu. Ndo nataka nione huo umwamba wako kwamba nikikuacha unaniua, nasubili nione unavyoniua, kumbuka unadili na mtu mwenye elimu kama yako, Mimi si mtoto, Nasubili uniue kama ulivyoahidi utaniua "
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,665
  Likes Received: 82,491
  Trophy Points: 280
  Dah!!!
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Atiiiiiii. . . . . ?
  Sasa watu watafakari nini wakati sms inasema kila kitu.Hapo kilichobaki ni mtumiwaji kukubali kwamba yamemshinda basi.
   
 4. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 80
  BAK
  Its like you took my words

  KISIMA
  A little background info will go a long way ........................as is now I find it hard hard to come up with anything useful apart from "it serves you right" maybe????
   
 5. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ....umetumiwa wewe nini?
   
 6. Kisima

  Kisima JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 3,768
  Likes Received: 2,228
  Trophy Points: 280
  Nemo!
  Yeah here ıs just a brıef of what happened!
  Inachekesha sana,
  Hıyo sms was sent a man whom ı respect verymuch,
  Jana tulıkuwa somwhr na huyu jamaa yangu akanıomba sımu kumpıgıa mamaa mmoja, baada ya bıbıe kufıka so akawa anatutambulısha kwamba yule bıbıe nı one of hıs wıves! Wakatı kıuharısıa yule nı ınf na tunajua jamaa anamke wake na mtoto mmoja.
  Baada ya bıbıe kutambulıshwa akaendelea na kılajı but she was no so comfortable compared to the rest of us na mwısho wa sıku bıbıe akaondoka.
  Baada ya muda ndo akatuma hıyo sms!
   
 7. Kisima

  Kisima JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 3,768
  Likes Received: 2,228
  Trophy Points: 280
  Mkuu BAK!
  Ujue smtms huwa najıulıza kwa nn wanandoa wasıwe waamınıfu?
  Mfano huyu bıntı alıyetuma hıı sms kunasıku alıchanwa vıwembe karıbu mwılı mzıma na mke wa huyu jamaa stıll akaendelea kutoka nae!
   
 8. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  What I know unaiba naiba, hakuna mtu wa kuoa au kuolewa hapa! Habari ndo hiyo!!!!
   
 9. Kisima

  Kisima JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 3,768
  Likes Received: 2,228
  Trophy Points: 280
  Sıjatumwa balı nataka tutafakarı maneno yaloandıkwa kweye huo ujumbe.
  Kwann jamaa alımtıshıa mwenzıe atamuua ıkıwa ataachana nae?!
  Wat so specıal ıs she provıdıng to thıs man!
  Au huyu bıbıe nı mjuvı sana kunako 6/6?
  Au ndo mambo ya ınfıdelıty yalıvyo? Kwamba ukımpata mume wa mtu jıshughulıshe kadrı uwezavyo kıası cha kumfanya jamaa asıkupoteze?!
   
Loading...