Watu wa jf (hasa mmu) wengi "wezi"

kiritimba

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
603
88
Kuna watu kila thread yeye anacomment kuanzia asubuhi hadi jioni. Utakuta kwenye thread moja mtu ana comment zaidi ya 20, halafu amecoment thread 20 au 30. kwa wastani kila dakika anakuwa amecoment kitu. Kazi anafanya saa ngapi? naamini wengi wameajiliwa kwa mantik hiyo wanaiba muda wa mwajir na hivyo wanalipwa malipo ambayo hawastahili. huu ni wizi mkubwa.

hata kama umejiajir, lazima ulipwe kutokana na kazi unayoifanya. sasa kama siku nzima wewe unacomment mmu hiyo kazi unafanya saa ngapi? pia mnalipwa malipo haramu. na huu pia ni ufisadi ambao wengi humu wanajifanya kuupinga hali wao ni mafisadi wakuu. kwa mtindo huu uzalendo uko wapi. nchi hii itaendelea kweli.

Fanyeni kazi badala ya kushinda kupiga umbea mitandaoni.

Ngumu kumeza lakini ukweli ndio huo.

Kiritimba,
25.11.2011
 
yaelekea uwelewa wako uko chini sana, kama m2 hayupo busy kiivo au unadhani we ulivyo kwa wahindi ndo kila m2?? mwngne kajiajiri!
 
yaelekea uwelewa wako uko chini sana, kama m2 hayupo busy kiivo au unadhani we ulivyo kwa wahindi ndo kila m2?? mwngne kajiajiri!

vp walio serikalini alafu hii ya jk hawako busy kuliko kupiga umbea ofisini bora niingie Jf bhana
 
We masaaburi nini?we kama unaona muda huna umelazimishwa,au umetuajiri wewe,naona unafikiria kutumia masaburi si mzima wewe.
 
Kwani huyu sio aliaga jukwaa hili jana kwamba hatorudi tena? na kama unauwezo wa kuwaona wenzako kwamba wanashinda kwenye mtandao wewe huwa unakuwaga wapi? kwenye makalio au mtandaoni? hizi ni thread za kipuuzi kutoka kwa mpuuzi.

Sure braa,hili jamaa hlijielewi lenyewe imekaa kwenye mtandao muda huu.
 
Afu huyu kiritimba si aliaga jana?..mbona bado yupo?..

JF Senior Expert Member Array


Join Date : 18th August 2011
Posts : 444
Rep Power : 21


icon1.png
Nimekwazika! Kwa herini MMU


Sina mengi ya kusema lakini kutokana na kuandamwa na "wakongwe" wa humu kwa sababu wanazozijua wao nimeamua kuwaachia jukwaa lenu.
Baada ya saa 5.45 usiku wa leo hamtaniona tena. Nilichotarajia kukipata (ushauri na social interaction) sikukipata bali nimekipata walichotarajia "wakongwe" wa humu (kama ambavyo naeleza mstari fatwa).

Nimepigwa mizengwe, nimetukanwa, nimekejeliwa, nimetemewa mate,...........hivyo nawaachieni "jukwaa lenu".

Naomba msamaha kwa wote niliowakwaza kama ambavyo mimi nimewasamehe wote walionikwaza na kunikosea.
Sitaingia tena kwenye jukwaa lenu.

Nawakieni MMU mwema.

Ndimi,

kiritimba
retired and resigned prematured @ mmu



kiritimba jana ulikua unatikisa kibiriti tu nini?
 
Back
Top Bottom