Kwa nini ndoa kuvunjika haraka inawakumba sana vijana?

Bukayo jr

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
2,782
1,638
Habarini wana MMU
nimefanya analysis nimegundua vijana wa zama hizi ndoa zao ni nguvu ya soda wanaachana fasta kwanin?
Mfano. Bro wangu mmoja ni tutorial assistant pale SUA alimuoa class mate wake bonge la harusi kule kwetu mwanza waliachana baada ya miezi miwili kwa Ugomvi mkubwa sana na bro mwingine alioa mwaka jana mwezi wa 7 binti mmoja wa kidigo yani by december ndoa ikavunjika kbsaaa
sasa wenzetu mliodumu ndoani what are the mistakes tunazokosea jamani???
Tujulisheni tujifunze maana haileti picha nzuri kabisa.
 
Waliowengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa hawajui maana halisi ya neno ndoa, cha msingi ni wote wawili wapendanao kujua maana khalisi ya ndoa kuchunguzana tabia kabla ya kufunga ndoa na ni vzr ukimpata yule mnayeendana kitabia
 
yani unamaanisha kila mtu kujua wajibu wake na nafasi yake? Ni makosa yepi yanafanyika ndo nataka nijue hapo mkuu
 
huyo kwanza kabisa alifanya kosa kuoa claasmate wake wa chuo....wewe hapo chuo hapo unaona vimodel hivyo basi wadhani umeona vyote...tulizana kwanza uone dunia na utulize hormones hizo ndio utafanya uamuzi mzuri
 
Nadhani unatakiwa umfahamu mweza wako kabla ya kufanya maamuzi ya kuona na siyo mnakutana mda mfupi tu na kutangaziana kuaona.Watu wanatakiwa wawe na mda wa kufahamu tabia za mwenzako na namna ya kudeal nazo. Kumbuka kila mtu amelelewa na familia na mazingira tofauti ni ngumu sana kuendena ndani ya mda mfupi.
La pili wanandoa wa siku hizi hawana uvumilivu co kama wazazi wetu. kila mtu anajiona yuko sahihii.. cha muhimu ni kuvumiliana tuu.
 
nimekusoma mkuu
 
huyo kwanza kabisa alifanya kosa kuoa claasmate wake wa chuo....wewe hapo chuo hapo unaona vimodel hivyo basi wadhani umeona vyote...tulizana kwanza uone dunia na utulize hormones hizo ndio utafanya uamuzi mzuri

inachangia kabisa maana ugomvi ulikua hauishi alafu kila mmoja yuko juu..."nitakuacha we mwanamke.."niache" kwani kwetu uliniokota? Matokeo yake ndoa ikavunjika na alikuwa mjamzito miezi 2 akaitoa kwa hasira
 
TV Series zinawadanganya na kabla ya ndoa huwa wote wana "act", ikifika kwenye "real life" wanachanganyikiwa.
 
pale utakapo jielewa na kuelewa majukumu yako kama mwanaume na si kama mvulana.....
 
pale utakapo jielewa na kuelewa majukumu yako kama mwanaume na si kama mvulana.....

lakini sio kweli magomvi huanzia mtu kutokujua majukumu? Mi nadhani kuisi ndoa ni ASALI na MKATE kuingia unakuta Leo Asali kesho klolokwini
 
Pole sana ndugu yangu. Ndoa ni agano, usipolichukulia kwa staili hiyo yatakukuta pia. Kwenye maagano mnapaswa kuishi kama mwili mmoja. Jiulize mkono wako ukikosea utaukata? Mwenzako atafanya makosa kama wewe utakavyofanya hivyo nyie wawili msameheane. Hii ni general case. Pia kumwomba Mungu ni kitu cha kwanza ambacho wengi wanasahau, kwani hata Adam aliletewa Eva na Mungu, hivyo tusiwaze sana ngono kwenye ndoa bali tuwaze zaidi maisha tunayoenda kuishi(future).
:llama::amen::lock1:

Mungu awabariki wale wote walioko kwenye ndoa nikiwepo mimi na wale wanaotarajia kuingia ili uvumilivu utawale zaidi ya tamaa.
 
Ukiona somo limewashinda maprofesa wa chuo kikuu basi ujuwe somo hilo halina fomular. na kwenye Biblia mungu ameagiza wanaume kwamba tukae na wanawake kwa akili.
sasa ukikosa akili hakuna kitu hapo hata uwe na mamilioni ya dollar.
 
Back
Top Bottom