mbona siku hizi wasichana mumebadilika..??

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,888
Heshima yenu wakuu.
Mimi nilijua wavulana ndio wanao tongoza wasichana. Lakini hii tabia ya kutongozana wasichana kwa wasichana sijui imeanza lini. Mtu unajua kabisa huyu ni mke wa mtu lakini kila siku unamfuata kazini kwake eti unamtongoza.eti bila yeye huna raha. Kweli?.
Mtu ushapewa onyo lakini husikii. Unamtaka mwanamke mwenzio ukamfanye nini? mabwana huwaoni?
Achananeni na wake zetu.unajifanya shoga yake kumbe unamtongoza.
Mimi sipendi tabia hii.
Mia
 
Kama mwanamke aki-cheat na lesibian, ni vigumu mwanaume kujua..........................
 
Heshima yenu wakuu.
Mimi nilijua wavulana ndio wanao tongoza wasichana. Lakini hii tabia ya kutongozana wasichana kwa wasichana sijui imeanza lini. Mtu unajua kabisa huyu ni mke wa mtu lakini kila siku unamfuata kazini kwake eti unamtongoza.eti bila yeye huna raha. Kweli?.
Mtu ushapewa onyo lakini husikii. Unamtaka mwanamke mwenzio ukamfanye nini? mabwana huwaoni?
Achananeni na wake zetu.unajifanya shoga yake kumbe unamtongoza.
Mimi sipendi tabia hii.
Mia

"Instead of cursing the darkness light a candle"

Fanya juu chini umnanihii
 
Siku hizi ya firauni hata hayashangaliki! Kuna wa wanadamu! na wanawake wanajua kufukuzia aisee,usiombe! Kama mdada anayefukuziwa ana frustrations,tutabadilisha topic soon!
 
mwambie mkeo ampige picha huyo mwanamke kisha mrushe mtandaoni kuwa ni lesbian.Atakoma kumfuata mkeo.
 
Aiseee. . . .
Wanaume umuhimu wenu unazidi kupunguzwa aisee.
Kwanza ilikua mahitaji ya familia. . . sasa hivi mpaka mahitaji ya kimwili wanawake wanawasaidia kuwatimizia wenzao.Poleni sana.
 
Na kupachika mimba pia?
 
Wanasubiri kuanza kulipiana mahari tu,check fb wengi wanaweka wapo in relationship msichana kwa mschana mwenzke but awajui madhara yake! Wenyepesa wanaweka wanawaka wenzao ndani wawazalie watoto.
 
Aiseee. . . .
Wanaume umuhimu wenu unazidi kupunguzwa aisee.
Kwanza ilikua mahitaji ya familia. . . sasa hivi mpaka mahitaji ya kimwili wanawake wanawasaidia kuwatimizia wenzao.Poleni sana.

duh lizy ina maana thamani ndo imeshuka kiasi hicho?
 
Lizzy waambie hao! Afu ushoga sio genetical, mashoga wa tz wanaweza wakafanya biashara nzuri tu ya kuuza mbegu. Lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom