Muda huwa mnapata wapi?

HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,612
2,566
Nimekuwa nikijiuliza hili swali kila siku, Wana JF ambao mmeajiriwa maofisini, hivi huwa mnapata muda kweli wa kufanya kazi za ofisi? Na mada mnazoposti hususan za mahusiano huwa mnazipata wapi? Utafiti nilioufanya kupitia mtandao huu, takriban 500 JF members huwa wako online muda wote wa masaa ya kazi kwenye Jukwaa la mahusiano na Mapenzi. Je ni kweli kuna matatizo ya kimapenzi kiasi hiki hapa TZ?
Leo pekee topic lukuki zimeshapostiwa kabla hata ya lunch time! Ndg zangu, tufanye kazi muda wa kazi, nchi yetu ni maskini, Ebooo!

Wenu,
HP
 
1. Mbona wewe uko online?
2. If you're not good at multi-tasking see me for a short course which may last you for 6 months
3. Nchi hii sio maskini..nashangaa sana watu kama nyie wanaosema nchi hii maskini
4. Hebu niambie muda wa kazi unaoujua wewe ni upi?
 
Mkuu wewe ni multi-tasking kweli au longo longo? Isije ikawa unatumia 70% ya muda wako jukwaani na 30% kwenye kazi inayokuweka mjini, be warned!
Mi nimeingia online kuwakumbusha watu wachape kazi japo kidogo!
Samahani sana ....
 
Mkuu umekosea situmii asilimia 70 bali natumia asilimia zaidi ya 200 na still na kazi nafanya sasa ndio maana nakwambia wewe kama hauwezi sie wenzako tunaweza njoo tukufundishe how to multi-task...halafu kazi inayoniweka......Be Your Own Boss....hapo nafikiri umenielewa...
 
Mapenzi si ndo yana-run dunia sasa..... Hapa PC pembeni makaratasi na peni. Kazi na dawa bana..!
 
mi mda wangu huwa nautoaga kwenye saa..!! naamini nimekujibu vyema...thank you..ngoja nikaendelee kuperuzi zangu huko!!
 
Nashukuru kwa michango yenu, lengo langu langu lilikuwa kuwakumbusha kuchapa kazi pia maana naamini kuna wengine wanazama sana mpaka kudeliver kazi inakuwa shida. Yumkini kuna watu wako foleni wanasubiri huduma yeye bado anapitia JF. Siyo mbaya ila tukumbuke na kazi pia.
Ngoja niwahudumie watz wenzangu, ntarudi baadaye.
 
mapenzi yako ndani yetu muda wote; tunalala nayo, tunashinda nayo na tunakuwa nayo popote. kazi haiko nasi, tunaifanya tu pale inapobidi huku tukiwa tumebeba mapenzi. upo hapoooooooo???
 
Nimekuwa nikijiuliza hili swali kila siku, Wana JF ambao mmeajiriwa maofisini, hivi huwa mnapata muda kweli wa kufanya kazi za ofisi? Na mada mnazoposti hususan za mahusiano huwa mnazipata wapi? Utafiti nilioufanya kupitia mtandao huu, takriban 500 JF members huwa wako online muda wote wa masaa ya kazi kwenye Jukwaa la mahusiano na Mapenzi. Je ni kweli kuna matatizo ya kimapenzi kiasi hiki hapa TZ?
Leo pekee topic lukuki zimeshapostiwa kabla hata ya lunch time! Ndg zangu, tufanye kazi muda wa kazi, nchi yetu ni maskini, Ebooo!

Wenu,
HP

Wewe huo muda wa kufanya utafiti uliupata wapi????..............
 
Mimi nikichapa kazi zikaisha nikawa idle ndiyo naingia JF, ninahofu ya performance za watu kushuka kutoka na kuwa addicted na JF! Kama nilivyosema, siyo mbaya ila tuwe na kiasi :nerd:.
 
Back
Top Bottom