I love my wife but... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I love my wife but...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Maundumula, Jan 7, 2012.

 1. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Jamani habari,

  Mie ni kijana mwenzenu nipo kwenye ndoa mwaka wa 2 sasa , lakini sometimes nashindwa kumuelewa wifi yenu/shemeji yenu sijui tatizo ni nini.

  Mimi nina bahati mbaya moja kwenye maisha yangu kwamba watu hutokea kuwa karibu na mimi iwe darasani, kazini etc popote ambapo nakaa muda mrefu na watu basi huwa najenga ukaribu japokuwa mimi mwenyewe sijichukulii kama "down to earth" sana na pombe sinywi. (Ila honestly huwa nakuwa close na ladies mara nyingi as friends)

  Problem ni wife hataki kabisa niwe na mahusiano ya karibu na jinsia ya kike yani awe colleague wa kazini au ofisi yangu ya zamani au evening class au whatever. Napata wakati mgumu coz hata wakipiga simu inabidi nianze ku explain "who is this " , "why she is calling" ,etc na kama ni new friend na ni binti basi kasheshe kabisa.

  Wenzangu mna handle vipi hizi situation coz as the days go by she is becoming more and more possessive na inaweza kunifanya nitengwe na jamii inayonizunguka and she thinks she is doing the right thing.
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuna muda wa kuchat na kuongea na hao unaowaita friends wa kike
  Huwezi kusema mkeo avumilie unaongea na friends wako au watu wa kazini kwako saa nne au tano za usiku
  Wanatafuta nini kwako muda huo au mnaongelea nini cha kazini au darasani saa tano za usiku
  Jipange namna ya kuwaambia hao watu wako muda wanaopaswa kuongea na wewe masuala ya kazini au darasani na upate nafasi ya kukaa na mkeo muongee issue za maisha. Mkeo naona anaona humpi nafasi ya kukaa na wewe na kuongea na wewe na hao unaowaita friends umewapa nafasi kubwa sana kuliko mkeo na lazima awe na wasi wasi
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kama kuna kitu nachukia duniani ni hicho mkuu wewe ni mume wa mtu kujifanya eti ana urafiki na maledies na kusema eti ni friends tu
  kuwa natural
  kuwa mwanaumme
   
 4. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ushauri murua kabisa hasa kama mnawasiliana at odd hours
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Na urafiki huo hauishii huko huko nje bali hata nyumbani bado mnaendelea kupigiana simu na kuchat
  lazima mwanamke wako ajiulize ni nini mnachochat na kuongea muda ambao sio wa kazi
  Kama ni issue za kazi kwani haziwezi kusubiri kesho yake mpaka akutegee uko na wife wako anakupigia simu mnaongea
   
 6. s

  shalis JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  khe nawewe mambo ya kizamani
  kwani hao ladiesa friend hawajui kama umeoa , inaonekana humpiattention mkeo kisa hao ndio maana mnagombana
  chakufanya acha mawasiliano nao kwan kam ni mambo ya shule si mkongee shule na kaz kazin unless its emergence issue i.e kesho no class au kikazi zile doc zikowapi siyo kila saa creeee creeeeee si sawa kabisa
  wewe upo commited na unatakiwa u bahave urself
   
 7. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu inashangaza usiku uko na mkeo mara simu ya lady wa ofisini inaita na sio mara moja au sio mmoja bali wanapiga na kuchat wengi
  Hapo ni lazima mkeo ahoji ni urafiki gani huo mpaka mnapigiana simu usiku na kuongea
  Kuwa na limit mkuu na hata kama inaishia unavyosema ni only friendship nothing more uwe na mipaka na mjali mkeo na mpe nafasi yake pia
  Umekaa ofisini mchana kutwa hujaonana nae hajapata hata nafasi ya kuongea na wewe mara simu za wanawake wa ofisini zinaita ni lazima amind mkuu
   
 8. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Wa2 wengine mnaboa? Ningekua mimi wangekula ma2si! Hawajui kua ww ni mme wa m2? Muheshim mkeo na jali hisia zake. Km ki2 hakipendi kwa nin uendelee kumkwaza? Urafiki ni kazin co mpaka kupigiana cm hadi ukiwa home. Acha kugawa no yako km pipi.. Jiheshim bwana!! Asume mkeo anapigiwa na vidume kila mda utafurah?
   
 9. T

  Tall JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.Chagua moja hao marafiki wa kike au mkeo.......sina shaka unachagua mke.
  2. Jitambue kuwa sasa una mke,hao mabinti wa nini tena kuchati nao??
  3. Kama namna gani vipi badilisha namba ya SIMU.
  4. Mimi naona wewe ndo una tatizo shem walaaa hata tatizo.Ebu tafakari,: kama huyo mkeo angekuwa close na majamaa kibao,job,college nk. na kila dak tano simu inaingia UNGEFURAHI???
  5.Wenziio tukiwa na shemeji zako tunaswiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiich off kabisaaaaaaaaa. Akipiga mtu yeyote ''......not reachable...''
   
 10. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mwambie bana
  Maana naona anajiletea matatizo mwenyewe halafu anakuja kuomba ushauri
  Kama ulikuw ahujajipanga kumuoa huyo mkeo mwambie kabisa
  Aise bado ninachat na kuongea na ladies wa darasani na ofisini nikimaliza na kutosheka ndo nitarudi kwako uone kama hiyo ndoa itadumu
   
 11. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  in any case, unapoingia katika ndoa lazima interactions zako na marafiki zako ziwe adjusted accordingly to suit the changed circumstances, and this cuts both ways
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu naona jamaa hajui thamani ya mke aliyemuoa
  Mwache aendelee kuchat na ladies wa ofisini matokeo yake atayaona
  Kuna siku atamkuta mkewe anachat na jamaa vile vile wa ofisini kwake na anamwita sweet niko home na hili lijamaa ndo atakaposhtuka
   
 13. marida

  marida Senior Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Marafiki wa kike wa nini mwanaume,tulia na mkeo,or otherwise,wafurahishe marafiki zako,mkeo mtenge..Chagua moja.
   
 14. h

  hayaka JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  unataka kumletea wife mambo ya kizungu? Kumbuka hapa ni bongo! Huo urafiki wenu umalizie nje ya geti. Ukiingia home we na wife tu.
   
 15. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  wewe ulioa ukiwa na miaka mingapi kwanza? inawezekana ndo wale mnaokimbilia ndoa
   
 16. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Marriage is the silent prison,abide with the rules.
   
 17. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #17
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nisingependa kuongeza chochote, kwani umemaliza kila kitu.................Mkuu Mundumula, ushauri wa Mr. Rocky umesimama....
   
 18. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  Duh hivi it reach a step maisha yanakuwa hivi? Ndoa ndoano
   
 19. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  patachimbika!
   
 20. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #20
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Asante sana mkuu
  hawa ndio wanaofanya mpaka watu wanaidharaua taasisi ya ndoa
  mambo gani ya kuongea na friends wa kike saa nne au tano za usiku
  Mnaongea nini ambacho hakiwezi kusubiri kesho yake
  Na mkeo unaoengea nae muda gani kama kila time unataka kuongea nae simu inaita au sms au sijui BBM au sijui notification za facebook ziko kwenye simu
  na then hao friends wa kike unawaita sweet, dear,darling, honey
  Mkeo unamwitaje wakati huo maana maneno yote mazuri ushayamaliza kwa hao unaowaita friends
  Jali ndoa yako mkuu achana na hao na waambie wazi kuwa umeoa na una mke na unahitaji nafasi ya kukaa na mkeo na kuongea nae na mkeo nae aone na apate nafasi yake kama mke ndani ya nyumba yako
  We mkeo tangia asubuhi hujamuona bado hata ukirudi nyumbani humpi nafasi tena unachat na friends wako wa ofisini sijui darasani
  Ahhh
   
Loading...