Mwanamke anapokuwa mkatili zaidi ya Simba!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,708
Taarifa hii niliikuta inaishia lakini nilibahatika kupata kujua kilichotokea,ila sikujua eneo unyama huu,kuna mwanamke amemnyonga mwanae baada ya baba wa mtoto huyo kumkataa huyo mtoto kuwa wake!Nashindwa kujua huyu mwanamke kama ni mzima,pia sijajua kama amekamatwa ama laa!Yani wanawake hawa,basi tu!!
 
WALISHWA MIJUSI UTAWAJUA TU!! TWAMBIE HABARI ZENYE VYANZO VYA HABARI,MI PIA NAWEZA TUNGA YANGU! ''MWANAUME MMOJA AMEMCHINJA MKEWE HADI KUFA NA KUCHUKUA NYAMA NA KUIPONDA PONDA NA KUITUPILIA JUU YA BATI NA KUNGURU.....)wanaume hawa jamani wabayaaa!!
 
Hahahaaa, we ndo kiazi kweli.
 
WALISHWA MIJUSI UTAWAJUA TU!! TWAMBIE HABARI ZENYE VYANZO VYA HABARI,MI PIA NAWEZA TUNGA YANGU! ''MWANAUME MMOJA AMEMCHINJA MKEWE HADI KUFA NA KUCHUKUA NYAMA NA KUIPONDA PONDA NA KUITUPILIA JUU YA BATI NA KUNGURU.....)wanaume hawa jamani wabayaaa!!
Khaaaaa1
Feis ni ww mpnz au?
Haya namwombea msamaha mtoa mada msamehe bure,
Punguza hasira mwana kwetu lol
Nahis hizo kibodi zimekiona cha moto,
Mzima lkn?
 
Hukumu si kazi zetu,
Japo hapo mtoto kahukumiwa kwa makosa ya baba,
Hope sheria itachukua mkondo wake.
 
Khaaaaa1Feis ni ww mpnz au?Haya namwombea msamaha mtoa mada msamehe bure,Punguza hasira mwana kwetu lolNahis hizo kibodi zimekiona cha moto,Mzima lkn?
mamito ni mm mwaya,unajua kuna watu humu ndani wameniboa saana,nimeamua kuwa kauzu nowdayz,sory my love kama nitakukwaza!
 
Wadada walio wengi (siyo wote) wanarush kwenye kufanya maamuzi, na hii huwakocost sana baadaye baada ya kugundua kuwa uamuzi wa mwanzo haukuwa sahihi. Naamini huyo dada kwa sasa anaweza kuwa anajutia maamuzi yake! Nawashauri wadada, kuwa makini na kupima maamuzi wanayotaka kuchukua.
Tumesikia mambo mengi, ikiwemo kuwachoma na pasi watoto wa kambo, kuwapiga, kuwatesa, kuwanyanyasa nk. Haya si mambo ya kiungwana kabisa.
 
sory sijakuquot ww! ama unataka kupovuka??

Nafikiri wewe ndo unapovuka,au?Soma comet yako ya kwanza ujue ulikua unamjibu nani,halafu ujue aliepovuka ni nani,teh,teh,teh,teh!
 
Back
Top Bottom