Kuhusu Bikira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhusu Bikira

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Judgement, Jan 8, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hili neno au hii habari inasemwa sana mitaani, kwamba mwanaume atakaemvunja bikira mwanamke husika.
  Inasemwa mwanamke huyo hatomsahau milele! Na hata ipite miaka mingapi na yuko katika mahusiano ya kindoa, pindipo mvunja utepe akiomba lazima apewe.
  Nawaomba wenye mnasaba na hii maneno mnifungukie.
   
 2. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  mmmh napita tu....... naelekea kwa bed!!
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  hiyo ni kweli mimi nilimvunja bikra demu sasa ameolewa baasi taabu tupu anataka tupige gemu tujikumbushie ila mi nachomoa
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kuiona tu lawalawa nw tyms imekua faraja than comments
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Judgement nenda kwenye Search alafu tafuta mada inayohusiana na hili swala. . . .
   
 6. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Tena kwa mujibu wa vyanzo sahihi kuipata hiyo ukai'click si kazi ndogo ! Ni bidhaa adimu mno! Yafananishwa na kama vile kulipata yai la bundi, au pembe ya Faru.
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Thanks! Ntaifanyia followup usubui coz now am already tepetepe !
   
 8. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  oooh maamaa.....hapa sijui umenitusi kwa kilugha? Hata sijaelewa kabisa!
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  promotion only
   
 10. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unapozungumzia bikira,ni yule gal ambae hajawah kukutana kimapenz na mwanaume yoyote yule.

  Suala la kwamba ukimtoa bikra,halafu akija kuolewa na mwingine atataka muwe mnacheat,huyo siyo bikra tena,coz ulishamtoa,na mwanaume wa kwanza kabisa,makes them to cry,na huwaweka akilin mno.

  Bikira original wengi siyo macheaters.and they believe that walivyo wao na wapenzi wao wa kiume wawe hivyo hivyo.kitu ambacho ni kigumu kwa baadhi ya wanaume kuwa na huyo tu.

  Mkiachana au kumwagana na vibinti bikra,kama bado hujatembea nae,kaa hata mwaka mzima,jifanye kumtafuta,utamkuta single,otherwise alikuwa katika harakati za kuolewa.hapo utakuta kashaolewa,au anatarajia.rather than that,mlipoishia,palepale utamkuta hivyo hivyo.

  Ukimwagana nae after sometimes ukasikia anamtu,c bikra huyo..

  The word i miss u to them is so limited.Atakumic but hakuambii,akikuambia,ujue kakumis kweli.They are type of shy girls.

  Girls wengi hupenda company ya wavulana,hata boys hupenda company ya wasichana.Hawa watu most of their company ni gals wenzao.Muulize mtu ambae ashatolewa bikra yake,rafik zako ni nani?,utasikia,i like boys coy,rafiki zangu ni yuda,is so nice to me,

  Uliza hawa mabikira,utasikia i have one bestfnd may be elizabeth,mara nyingi ndo coy yangu.

  Wanahasira hawa mabinti mno.but when it kams to their boyfnd,wanatulia mno.

  Wanapenda attention yako mwanaume wake.ukimsahau kidogo anakuwa depresd kinoma na hakuambii,siku ukiwa unaongea nae ndo atakuambia.

  They are antsocial,quite, and cool.  Kama una gal bikra,mchunguze kwa hayo,otherwise utauziwa gunia bila kitu ndan yake.
   
 11. marida

  marida Senior Member

  #11
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Una bahati,inaonyesha ndo signs za mtarajiwa wako nini?!!!
   
 12. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Cdhani kama kutoa bikra is such a big dil ila anayepiga kazi fresh nafikiri ndio huwa mara nyingi anapewa nafasi ya kukumbukwa zaidi.
   
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,012
  Trophy Points: 280
  ngebe nyingi lakini hujajibu swali
   
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wapi tena hapo ? Ama umetatizwa na neno "lawalawa" ?
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kuna ukweli mkubwa hapa...

   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  lawalawa = pipi

  Arusha ndo twaita hivi

   
 17. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hata sie kwetu maana ni hiyohiyo! Nilikua na wasiwasi na Kipipi alitia shaka comment yangu. Jana naona ulilala mapema maana mara ya mwisho nimekuona hapa mtaani (MMU) Saa 6 hivi kisha jiii ! Alaaa si unaona sasa naanza kumuuliza mtu mdhima kwa nini alilalal mapema! Wakati wakubwa wana mishughuli bwaaa! bweee ! Kama kuwabandua wageni lebo. Sijui mgeni wetu wa juzi ulikuta lebo ngumu au wuuuu! Nimejiongeza ntakua siuliulizi.
   
 18. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mwongo ww na sura yako inavyotisha !!!!!!
   
 19. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
   
 20. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  siwezi sema chochote coz sijawai mtoa msichana bikra
   
Loading...