Jamani E MAIL hizi!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani E MAIL hizi!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mayenga, Jan 10, 2012.

 1. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,745
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  Napata wakati mgumu ninapokutana na email kama hii,hasa kwenye sparm.Hawa watu ni wakweli au?

  Dearest one,
  I am more than happy to read your reply to my mail, How is your day?i hope you are very fine and healthy.
  i promise to tell you more about me in my next mail,my name is Miss Elisa Edgard, i am single and have never been married, i am from Sudan in East of Africa, i am 25 yrs and 5in8ft tall,58kg weight.

  Earlier i was residing in Dar fur refugee camp in Chad on July 2006, at a time there was a division and dispatch of some of the refugees due to the over population of the people in Chad, i was taken to Senegal in West African on 10th August 2007 where I'm presently residing in N'dioum refugee camp due to the civil war in my country. i am suffering in pains in this camp and i really need to have a man by my side to encourage me. i am willing relocate from this country.

  My late father Dr Col Maxwell Edgard was the industrial Managing director of (EDGARD AND INDUSTRIAL COMPANY LTD) in KHARTOUM the economy capital of my Country(Sudan) and he was also the personal adviser to the former head of state before the rebel attack our house one early morning and killed my mother and father in cold blood. i escaped death because i was in school when the rebel attack our house. i was the only issue of my late parents,i have no brother nor sister. This Refugee Camp is headed by a Reverend Father am using his office computer to send you this email and i only enter his office when he is less busy in his office.

  I would like to know more about you and your hobbies and what you are doing presently. my dream is to meet sincere, faithful, kind and trustworthy person. i will tell you more about my family background in my next mail. Attached here is my picture and i am Hoping to hear from you soon.
  Miss Elisa.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  This shit is old as dirt.
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Matapel hao,usijibu
   
 4. nyotanjema

  nyotanjema Senior Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ujanja wa zamani na watu kutapeliwa sasa hv watu wameelimika achana na upuuzi wa west africa
   
 5. Kahise

  Kahise Senior Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 144
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  scam and shit.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  duh, mPM
   
 7. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  wezi wa kinigeria hao na mbinu zao za kizamani za kitapeli.....
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu hii kitu we ni ku drag na kuidrop pale kwenye spam au trash..
   
 9. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Msicheki, mbona kuna benki ya marekani ilisema walitapeliwa hivo na Boko haram, na wakawatumia laki za dola ya marekani? lol
   
 10. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Watu wa west Africa wezi sana kwa kutumia mtandao!Najua atakuwa amekutumia picha ya demu bomba sana!Mwisho wa stori atakwambia baba yake ameacha maelfu ya dola umsaidie kuhamisha na hapo ndipo utakapoliwa kijinga.Wenzio huwa hatupotezi kuusoma huo ujinga wao.
   
 11. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wengi wanatapeliwa sn kwa njia hii mpaka sasa,ce kuna staf mwenzetu tulimstukia karibia stage ya kutuma hela,potezea mkuu hao wezi tu.
   
 12. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  mimi nilijaribu kuchati nao kuona inaishia wapi alisema atanipa akount namba ya babake halafu nizitoe hela zilizomo kwenye hiyo account halafu nimtumbukizie kwenye account yake yeye ataniachia 40% ya million 120 US dollar, hawa jamaa ni wezi ile mbaya
   
 13. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #13
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Wizi wa kizamani sana huu, delete bila hata kusoma
   
 14. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwenye email yangu zinafika sms 50 za aina hiyo, napiga kimya hazina inshu.
   
 15. b

  bigambo Senior Member

  #15
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ukijibu email hiyo umeliwa,ni matapeli hao
   
 16. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  achana nao ni matapeli
   
 17. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  jamani ndugu zangu, watanzania wengi ni aninfomd kwenye haya maswala. Mwaka jana tu kuna mama mmoja alistaafu TRA wamemlamba mafao yake yote kwa ujinga huu huu. Ooh.. sisi ni wakewezaji.. tunataka tushirikiane na wewe.. Sate iaz ov wek end sevings. Gon! Anaongea mwenyewe tu mitaani siku hizi. So sad.
   
 18. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hao ni wezi, achana nao!:alien:
   
 19. JJ Masselo

  JJ Masselo Member

  #19
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utaumizwa vibaya ndugu, ukiwapa namba yako ya account wanaiibia bank yako kwa kutumia account yako, utajutaje? achana nao vibaka hao na si wanawake kama utakavyowaona kwenye picha zao. Mimi kuna mjinga mmoja alinitumiaga harafu kwa kuzani mimi isangaliagi Nagerian Movie akaweka picha ya Genevivi eti ndo yeye akajipa jina la Grace Yak. utaabishwa usijaribu, kujibishana nao kwa email unaweza kwa kuwachora lakini mwisho wa siku watakwambia wape namba yako ya account, mchezo uishie hapo
   
 20. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  matapeli sana hao,wapo wengi tu
   
Loading...