Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna watu wengi wamekosa amani kutokana na kusubiri kuombewa ama kusaidiwa katika mbali mbali kuna wakati akuna kitu kizuri kama kujua adui wako anakupiga silaha hii na mie lazima nitumie silahaa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau nimeongea na baadhi ya wanandoa na kwa kiwango kikubwa wanawake wamekuwa wakiwatupia lawama wanaume kwamba si wavumilivu na waelewa inapokuja suala la KUJAMIANA,wanaume wakihitaji ngono...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kudeka ni tabia ya mtu kutaka kupata kila anachokitaka kwa wakati anaotaka, kufanyiwa kila kitu bila kujishughulisha sana, kubembelezwa kila wakati na kutoambiwa kwamba amekosea. Mtu anayedeka pia...
2 Reactions
30 Replies
7K Views
Wanajamvi naomba kuelimishwa/fahamishwa juu ya hili. Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 26.Nimekaa zaidi ya 8 yrs bila kufanya mapenzi.Lakin kwa sasa ninampango wa kutafuta msicha wa kuoa.Mim...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimegundua kuwa "magwiji" wa mmu wana id zaidi ya moja...wengine mbili, tatu, nne hata tano na kuendelea. Na kila moja ina matumizi yake. Kuna ile ya "ugwiji" hii wanaitumia pale wanapoona wana...
6 Reactions
90 Replies
6K Views
Hali zenyu bhana! Hope hamjambo wanajamii wenzangu. mimi ni ke nina b/f wangu yupo mkoani. To be honestly ninampenda jamani. Tatizo ni kwamba yeye haoneshi kama ananipenda. Naweza m-call hata cku...
4 Reactions
133 Replies
12K Views
Inanisumbua kichwa wadau ;ni kipindi cha zaidi ya miezi tisa nimefahamiana na dada mmoja. Tulikutana arusha nilikenda kumtembelea mama yangu mdogo maeneo ya njiro karibu na chuo.kilicho pelekea...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habar wapenz, jaman nina mpenzi tena tuna miaka 4,ambaye kwa wazaz wangu anafahamika na kwe2 pia anafahamika, umezuka ugomvi bila sababu eti anataka password za email yangu kwa nguvu kwa lazima...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Mie ni mwanaume! Nahitaji lesbian wa kunifundisha romance! I am very poor kumprepare mwanamke kabla ya tendo la ndoa! Naamini nikimpata lesbian anaweza kunisaidia practically! Bei kuanzia laki...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Habarini wana JF Kuna wakati vijana wanapoingia kwenye mausiano na hasa wote wakiwa wasomi huwa very "optimistic" sana na hudhania mambo mengi mepesi kumbe sio uhalisia mwanaume na mwanamke wote...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Nilikua nasoma utafiti mmoja kwenye jarida moja hivi la Zimbabwe,utafiti huo unadai kuwa wanawake wanapokuwa katika zile nyakati ambazo akikutana kimwili na na mwanaume anapata mtoto huwa wanakuwa...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Kuna mtu aliye karibu na first family kaniambia kuwa Bi Mkubwa - First Lady amejifungua hivi karibuni, lakini suala zima linafanywa siri sana. Mimi nimeshangaa kwani sijawahi kumuona akiwa mja...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Kwanini watu hutambua umuhimu wa kitu/mtu pale tu kinapotoweka?
0 Reactions
3 Replies
995 Views
Usiku muruwa!
0 Reactions
3 Replies
867 Views
kila nikiingia humu mmu nakuta post mbili au tatu ndo watu wanaoeleza mambo mengine zaidi ya natafuta. Ila zilizobaki wao wanatafuta tu. Sasa waliopata inakuwaje mbona hamleti feedback na pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
@geneva of Africa, baba mngoni, mama mchagga
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Sihitaji mada yangu ihamishiwe kule love connect. Hapa inatosha. Kimsingi upweke unanitafuna sana. Katika umri wangu wa miaka 34 sijawahi kuwa na mwenza niseme huyu ni wangu japo kwa mwaka...
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari ya asubuhi wadau Leo ningependa ku share nanyi kisa kilicho mkuta kaka yangu. Mnamo mwishon mwa mwaka jana kaka yangu aliugua. Na kipidi hicho mkewe na mtoto wake mwenye umri wa miaka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Unakuta mwanaume anajitahidi kumjali msichana wake kwa kila hali,kuanzia pesa nk,bt mwisho wa cku unaishia kwa mwanaume kulambwa kibuti kitakatifu..jaman wadada,mtuonee huruma.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimekaa sehemu najaribu kuifukuza wikiendi. Mara anatokea mama mmoja mtu mzima hivi takribani wa miaka 50. Japo amekwenda age lakini anaonekana amenona pengine kutokana na matunzo. Akakaa karibu...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…