WANAUME v/s masharobaro.....Maumbile yaingilia kati!!!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Nilikua nasoma utafiti mmoja kwenye jarida moja hivi la Zimbabwe,utafiti huo unadai kuwa wanawake wanapokuwa katika zile nyakati ambazo akikutana kimwili na na mwanaume anapata mtoto huwa wanakuwa na uhitaji mkubwa sana wa kukutana kimwili,lakini kilichoniacha mdomo wazi ni kwamba wanawake wanapokuwa katika kipindi hiki huvutiwa zaidi na wale wanaume wenye sura ambazo jamii inasema ni sura "mbaya".Utafiti huo ukasema kuwa kama mwanamke atakuwa ameolewa kukawa na mwanaume mwenye sura hiyo nyakati hizi mwanamke huyo atakua katika mazingira makubwa ya kusaliti ndoa yake.Wanasema watafiti hao kuwa hayo ni mambo ya kimaumbile zaidi hata wanawake nao wakati mwingine hawawezi kuelezea hali hii,wanadai kuwa wanawake walivyoumbwa wameumbwa kwaajili ya WANAUME,wale ma sharobaro huwa hawana nafasi kwenye jambo hili kwani wanawake huwaona kama wanawake wenzao!Hukosa mvuto nao kabisa,hukutana nao kimwili kwa sababu tu wameolewa nao au ni bf wao.Wanawake hebu jikagueni muone kama kuna ukweli!
 
Maana yake ni hua wanaangalia mtu ambae ni fit, mwenye feature za kiume na sio sura mbaya. Labda kama hao wanaodai hivyo wanaona sura za kiume ni sura mbaya.
 
Kwani ukichaa uko waina tofouti inawezekan wale wa zimbabwe wanapenda kina sura mbaya, na wa india wanapenda wale wako kama kina Sharukh khan :biggrin:
 
kuna kaukweli ndani yake! Hatuangali sura mbaya ila tunaangalia waliokaa kiume zaidi!
 
Maana yake ni hua wanaangalia mtu ambae ni fit, mwenye feature za kiume na sio sura mbaya. Labda kama hao wanaodai hivyo wanaona sura za kiume ni sura mbaya.

Ndo maana nao wamedai kuwa jamii ndo inadai hizo ni sura "mbaya"
 
Mie huko kwenye mahamu na ma'apetite ya kumwagana sitii maguu, natia maguu hapo uliposema "sura mbaya" naomba unipe vigezo vya kutambua surambaya.
 
Mie huko kwenye mahamu na ma'apetite ya kumwagana sitii maguu, natia maguu hapo uliposema "sura mbaya" naomba unipe vigezo vya kutambua surambaya.

Sio mimi niliyesema sura mbaya ila nimesema jamii ndo inasema wenye sura mbaya!Au unataka kudai hujui ni watu wa aina gani jamii inawaita wa sura mbaya?
 
Back
Top Bottom