Magwiji mmu na multi-id's

mitishamba

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
697
111
Nimegundua kuwa "magwiji" wa mmu wana id zaidi ya moja...wengine mbili, tatu, nne hata tano na kuendelea.
Na kila moja ina matumizi yake.
Kuna ile ya "ugwiji" hii wanaitumia pale wanapoona wana kitu substance cha kuchangia.
Halafu wanazo nyingine ambazo wanazitumia kutokana na mazingira pamoja na aina ya mchango wanaotaka kutoa.

"Magwiji" bwana!
 
Kama hii tafsiri ya magwiji ni magwiji basi sijaona magwiji humu!
 
Ya statement is so plain and low....magwiji wote umekosa kutoa mfano hata m-moko...lol sichangii hapa till u get a clearly vivid eg....!!
 
Though hiyo 'magwiji' siinunui nadhani ni kweli wapo watu wana ID za kuandika thread za maana na za kupost vituko na pumba. . haswa kule chiti chati.

Sababu. . .labda ili
i) wasiwaangushe/wasiwashangaze/wasihukumiwe na wanaowafahamu.

ii) Wanakua na bifu na watu wengine ila hawathubutu kuwatukana kwa ID zao zinazojulikana kwahiyo wanajificha gizani ndio warushe makombora.

iii) Wanataka kuona wale wanaomkubali watamchukulia/wangemchukulia vipi kama angekua kama ambavyo ataAct/amua kufunguka na hiyo ID mpya.
 
Nakukubali sana "Lizzy wangu". Nipo mbioni kuleta posa, hebu nipe taratibu zake zikoje.
By the way, id zako nyingine ni zipi?
 
Nimegundua kuwa "magwiji" wa mmu wana id zaidi ya moja...wengine mbili, tatu, nne hata tano na kuendelea.
Na kila moja ina matumizi yake.
Kuna ile ya "ugwiji" hii wanaitumia pale wanapoona wana kitu substance cha kuchangia.
Halafu wanazo nyingine ambazo wanazitumia kutokana na mazingira pamoja na aina ya mchango wanaotaka kutoa.

"Magwiji" bwana!

Tunashukuru kwa kuwagundua sasa unataka tuwafanyaje?
 
Sasa kuna siku "gwiji" mmoja alikuwa amepost upupu kwa kutumia id fake, baadaye akacomment kwa id yake halisi tena akawa anaponda ile thread (yaani kama anajiponda mwenyewe vile), mzee si alikuja kujichanganya katikati huko...yaani watu hatukuamini! Hata huyu!!?
 
Nimegundua kuwa "magwiji" wa mmu wana id zaidi ya moja...wengine mbili, tatu, nne hata tano na kuendelea.
Na kila moja ina matumizi yake.
Kuna ile ya "ugwiji" hii wanaitumia pale wanapoona wana kitu substance cha kuchangia.
Halafu wanazo nyingine ambazo wanazitumia kutokana na mazingira pamoja na aina ya mchango wanaotaka kutoa.

"Magwiji" bwana!

unasemea kivuri chako
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom