natafuta natafuta nani kapata?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta natafuta nani kapata?!

Discussion in 'Love Connect' started by stevoh, Feb 7, 2012.

 1. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kila nikiingia humu mmu nakuta post mbili au tatu ndo watu wanaoeleza mambo mengine zaidi ya natafuta. Ila zilizobaki wao wanatafuta tu. Sasa waliopata inakuwaje mbona hamleti feedback na pia wengine wako kiutani zaidi kwanini?
   
Loading...