aproot the aprooter | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

aproot the aprooter

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Feb 7, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wengi wamekosa amani kutokana na kusubiri kuombewa ama kusaidiwa katika mbali mbali
  kuna wakati akuna kitu kizuri kama kujua adui wako anakupiga silaha hii na mie lazima nitumie silahaa
  kumgoaaaaaaaaa adui yako

  Kuna watu wengi wameshindwa na wanaendelea kulia kwenye mahusiano sababu wamekuwa wakimya
  wakisimamia Mungu yuko upande wetu ...kweli vita si vyetu vita ni vya bwana lakini wewe kama wewe'
  unatakiwa kufight kama wewe Mungu anakupa nguvu..usikubali uzinzi,umaskini,wizi,,na shida zote
  unazojua zinaweza leta matatizo kwenye ndoa yako...akuna kitu kizuri kama garama....

  unaitaji kugaramia kitu fulani hili uweze kushinda..kuna vita unapasw kuingia wewe kama wewe Huku Mungu
  akikusimamia..usisubiri uanze kushugulikiwa ukimbillie kanisani mchungaji m yamenishinda yamekushinda
  wapi umeachia njia wenzako wanakuchapa kwenye ma guest house mbaya zaidi unaweza kuta mbaya wako
  yuko hapo hapo nyumbani (housgirl))

  Kuna wengi wanaamini kushikwa mikono na wachungaji ndio matatizo yao yaishe weee usifikiri hivyo
  wachungaji nao wana shida zao unawekewa mkono unabeba maspirit yao unafikia kukuta nyumbani nguo ziko
  nje unashangaa ni ni tena sisemi usiende kuombewa ..jiombee kwanza ...


  Kuwa makini sana sana kwenye maombi yako uwezi kumwambia Bwana yesu namkabidhi mbelezako yule binti
  tena unamtaja mshugulikie bwanaaaaaaaaaaa usimwachee kabisaaaaaaaaa anaanza kukushugulikia wewe ulilala
  unajaza matumbo utaki kufunga,,kesha komaa na maombi acheni kumshika Mungu maskio atawauma...sambaratisheni mapepo
  jamani hili pepo la uzinzi limesambaa kila sehemu alichagui wabunge,waziri ...alina adabu kabisa

  Just kukumbushana wale wenzangu kwenye ndoa unaitaji kufight mwondoe msambaraishe adui yako kabla
  ujasambaratishwa wewe..kama unajua mumeo/.mkeo mzinzi saliii shinda sebulen wakati umelala mwambi Mungu
  namsambaratisha kila mwanamke anaemvua mume wangu nguo za ndani ,anaemfanya anashindwa kusaidia
  familia hapa nyumban nasema hivi wanaume wengi wa dizaini hii wamekuwa wakimwaga kila kitu nyumbani...
  usillale mpwaaa saliiiiiiiiiiiii komaaaaa shetani ni mshenzi wa wa shenzi lazima ujue silaha za vita ujue kushinda
  vita ilio mbele yako
  Mwisho nawatakia usiku Mwema
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  kuna Familia zimefungwa na ufahamu ..unajua babako na mmaamayako walichana 10yrs ago,,babu na bibi wamekufa wakiachana
  leo unaingia kwenye ndoa umelala unakaa kimya unasubiri liamke ndio uanze kulia bwanaaaaaaaaa yesuuuuuuuuuuuu ninavunja roohhhhhhhhhh ooo ya uzinzi ataanza kukuvunja wewe uliejua ulipotoka na kuamua kukaa kimyaaa..anza kufanya mappiing ya familia zenu baada ya ndoa wekeni wazi magonjwa yanayowasumbua..tatizo linalowasumbua kwenye ukoo anzeni kufight kukemea na kulaani maspirit yoteeee..ninae rafiki yangu mmoja babake alifia chooni babu yake na bibi wote walifia kwa kuanguka choooooooniii majuzi nae kaanguka chooooni bahati wakati anapiga keleelee nilikuwepo kwa nje tukaenda kuvunja wakataka kuanza kuvunja kwa kuusukuma nikakataaa nikaenda kufumua bawaba za juuu nikauvuta tokajuuuu wakati wakitaka kusukuma akapiga keleeeeeeeee mamaaaaaaaa...niakomba wauwache..nilitoa bawaba tukaukuma toka juu alipotka akaanza yesu wangu yaaniii mke wanguuu ningekuacha hivi hivii jamaniiiiii asieeeeee unajua baba alikufa hivi hivi babu akafia chooonii so kumbe mna maspiit msipoyawahi yatawahi watoto zenu ..mi kwenye familia ya mama mzazi watano aliekaa na ndoa 1...nikamkaribisha nyumbani nikasali nae nikamwambia MUNGU kama alivyokaa kwenye ndoa nami ninajiambatanisha naeee....mpaka leo na enjoy mwaka wa nne else utaunga foleni ya kuombewaaaaaa na wachungajiiii mwisho utaishia kukutana na watumishi wanamkumbatia mke wako halleeluyaaaaaa anashika chiniiiiii roho ananiambia noa yako inakwendaa kupona aaaaaaaaanishikee hukuuuuu nikamate chiniiiiiiii haleluyaaaaaaa kama ulivyonishika hivi na mumeo atakushika hivyoooooooooooo haleluyaaaaaaa mnaishia kurogana nikumbatieeee haleluyaaaaaaaaa wee una adabu unaombea mke wa mtu masaaaaaaaa mawili maombi gani ata musaa hata elia akuwahi kuomba hivyoo,...ati kama unavyoshika flies yanguuu kama unavyofunguaaa flies yangu na mumeoo ukafungue mwenyewe tuuuuuuuu ameeeeeeeeennnnnnn.....mnaonekana vituko kwenye mahdbahu ukianguka ukakaa uchi..understanding ni nguzio ya delivarance..nguzo ya ukombozii wakooo..unaitaji kugundua kuwahi kumtema shetani kabla ajakumaliza ..unapopata ufahamuunakuwa juuuu kwenye ndoa yako unakuwa mmiliki

  Unajua familia zenu zimekufa na kisukarii na pressure kila sikuunashindilia masoda mawili matatu ..mara chips kuku ..baibo inasema atakufaa huyo kwa wingi wa ujinga wake ni maarifa yanasababisha mtu asiendelee kuishi utumwani...we unabaki MUNGU ataniponya huo ni ujinga toka mwambie mungu akupe ufahamu.....unaambiwa babako alimtesa sana sana mama yakooooooooo na wewe unaingia kwenye ndoa unasikia liroho la kurudi usiku wa manane unaishiaaaaaa kukaana madungayepeee mpaka asbh mwishoo unasema mi yamenishinda upumbavuuuu hujui ulikotokaaa nenda kafanye mapping ukishangaaa sana utatembea na dada yako usipojjiijua kumbe babako alizaa na mwanamke na yeye ameenda kujiuza mnakutana we we unaonekana mwekezaji na dada yako anaonekana mmiliki wa madini mwisho mnaishia kuchimba kabla ya kujua kumbe wote mko kampuni moja ...komboa ufahamu wako
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  kuna watu wanajua baba yao alikuwa mzinzi sana,,mama yao robo tatu ya watoto amezaa na baba tofaut anaishia kuhangaika kwenye ndoa kila siku bila kujijua mapping ya familia yake mara anaanza kuhangaika na makanisa mbali mbali utazunguka sana utakesha sana nenda kakeshe dili nayooooookataaa we unajua baba mzima akiwa na suspender anapita na vibinti unasema hee huyu baba chizi nini chizi wakatiiii anakuandalia maisha yako ya baadae na weweunaishia kushinda na vibinti kwenye ndoa zenu kataa kemea funga na kukesha.....

  NIKUPE USHUHUDA SIKU MOJA NIKAAWA NIMELALA TULIKUWA KILA BAADA YA WIKI ATUKAWII KUTAKA KUCHAPANA MAKONDEE KAMA ATUJACHAPANA..IKAFIKA WAKATII NIKAWA KILA NIKILALA NIKIMWANGALIA MKE WANGU NAHISI ROHO INANYAYUA MKONO NIMCHAPE MAKOFIII....NIKAJIULIZA WHYYYYY NIKAFANYA MAPPING MAMA AKANIONYESHA ALAMA MKONONI ALIPIGWA NA MZEE 1987 NIKASEMA HEEEEEE ALAAAAAAAAAAAHHHH NIKAAANZA KUDILI NA IYO ROHO...SIKUMOJA USIKU WA MANANE NIKASIKIA ROHOOOOO INANIAMSHA NIANZE KUMPIGA MKE WANGU NIKO USINGIZI NI NIKAAMKA KWA JINA LA YESUUUU NINAKAAATAAA ROHO YA UGOMVI ILIOPO KWA MZEE WANGU NINAKEMEAAA NINAIKATAAA KWA JINA LA YESUUU KWA SAUTIII KUBWA MAMA DIDY AMELAALAAA AKASHTUKA HEEE GAFLAAA AKAAANZA KUKEMEEA NA YEYE KWAJINA LA YESU TUNAKATAA ROHO ZA UKOO ...ROHO ZA UGOMVI WA MAMA YANGU NAZIKATAA KWA JINA LA YESU TULISALI NUSU SAAAA...NKAMWAMBIA HEEE MKE WANGU NA NYIE MNAYO HAYO AKASEMA MAMA YAKE MZAZI ALIKUWA MGOMVI SANA SANA NA ALIKUWA AKIONA BABAYAKE AJAJA NA VITU TOKA MJINI AKOSI KUMFEDHEHESHA MUMEWE....TUKAENDELEA KUFUNGA LEO GLOVES ZOTE ZIKO JUU YA KABATII ...TUMEUMIA SANA TUMEPIGWA NA MTOTO WETU MIGONGONI...MUNGU AKUPE UFAHAMU IN JESUS NAME
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  Kuna familia nyingi zimekuwa maskini kutokana na kutoa misaada ovyo sisemimsisaidie la hasha ...leo mmeishia kuteseka kutafuta kg 3 a unga wakati huo watu mliokuwa mkiwakopesha hata simu zenu awapokei na leo unajua src ya maisha ya wazazi wako no kujifanya na huruma leo kila ukipata pesa unapata marafiki wengi timua kemea hao ndio waliomfanya baba na mamako kuwa hapo ulipo..tena ukiweza mwaga maji kazini mlangoni mwako sema kama ninavyomwaga maaji haya hawa marafiki wanaooniona wakati wa pesa tu kama yatakavyoakauka na wao wakauke in jesus name...wala wasinione tena kwenye maisha yaooo..na mambo mengi tu ya kuangalia ukonyuma mungua akuweke uwe bora kwenye familia yako in jessus name
   
 5. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Pdidy, I only wish u paragraphed ur ping to make it easier to read and an eye appetizer. Thanks, it's quite informative.
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  Time mkasika
  for 1000tzs half an hr you cant do that br,get small act on it easy..dnt take all
  gudnyt
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  inachosha lakini
  btw, mwakasege atakuwa dar 19 Feb
   
 8. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole kwa yaliyokukuta! Toa kwa kiasi
   
Loading...