Wanaume ndio chanzo cha mimba zisizotarajiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume ndio chanzo cha mimba zisizotarajiwa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tosha, Feb 8, 2012.

 1. Tosha

  Tosha Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Wadau nimeongea na baadhi ya wanandoa na kwa kiwango kikubwa wanawake wamekuwa wakiwatupia lawama wanaume kwamba si wavumilivu na waelewa inapokuja suala la KUJAMIANA,wanaume wakihitaji ngono kutoka kwa wake zao au wapenzi na pengine wakiwa wamelewa ndo balaa zadii hawajari tarehe au siku za “hatari” au za kutungwa mimba! hali hii imepelekea wanawake wengi kushindwa kuhimili njia za asili za uzazi wa mpango na hivyo watoto wengi wa kwanza na wa pili huwa wamebebana(hawajatotafautiana sana kiumri).

  Suluhisho limekuwa kutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango(artificial methods of family planning) hasa vidonge na sindano ambavyo navyo vinadaiwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kuwananinepesha wanawake wengi na hata vatambi vingi ni matokeo ya njia hizo ambazo zinagharimu “uzuri” wa umbile la wanawake wengi au wanawake wengine zianwadhoofisha kiafya au kuwakondesha.


  Wanaume ni kweli hakuna uvumilivu na uelewa unapoambia NO katika suala la NGONO kwa mwenzi wako kwa sababu ya tarehe “mbaya? Wanawake ni kweli kwa kiasi kikubwa mnalazimika kutumia artificial methods na pia vitambi na kunenepiana vinasababishwa na sindano,vidonge au vijiti vya uzazi wa mpango?
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Inawezekana sijamsikia vizuri mtoa mada,mvua inanyesha ngoja iishe!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  ni kweli ndio maanna mwanamke mjanja anakuwa anajua njia zote ..
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Kwani mwili unaobeba mimba ni wa nani? Huwa wanabakwa kwa hiyo wanashindwa kujizuia? Wakikataa wasilale na wanaume itakuwaje watauwawa au? Wanawake wenyewe ndio chanzo kwa sababu ya udhaifu wao hawanaga maamuzi juu ya miili yao ndio maana siku hizi wamechukulia fassion kufanya ngono
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ohhhh puhleeeez. . . vitambi vingi ni vya kula kula hovyo.

  Hata hivyo hilo ni jukumu la wote. . . mwanamke ajitahidi kumfanya mwenzake aelewe. . .na mwanaume jukumu lake ni kuelewa.
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kuna wanaume wanawashika wake zao kwa nguvu wewe. . . usisikie watu wameona ukadhani kila kinachofanyika ndani kimeridhiwa na wote!!
   
 7. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Wakishikwa kwa nguvu hapo sawa lakini ni asilimia ngapi ya wanaoshikwa kwa nguvu?
   
 8. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Ingebidi wanaume na nyie muwe na mzunguko wenu..hili suala la sisi kuwa na mzunguko halimaanishi sisi ndiyo tunategea au mkiambiwa hamkubaliani na kitu.
   
 9. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni mwanamke mjinga ndie asiyejua namna ya kuplan uzazi kwa kukosa ubunifu na kutumia akili. Mimi wife wangu ni very very makini linapokuja suala la uzazi. Pale chumbani kwenye kalenda huwa anachora kabisa kwa marker pen siku za hatari ili wote tuzione. Na anapoona siku hizo zimekaribia, basi siku moja au mbili kabla huwa anahakikisha amenishughulisha vya kutosha to an extent for the following 3 to 4 days hata hamu ya kulala karibu naye huwa sina.

  Shida ya wanawake wa kiswahili ni kukosa mawasiliano. Ngoja leo niwafundishe. Ukishaona siku ya 9 imefika, basi hakikisha unampa Mr siku mbili mfululizo, tena vyema ukamwambia kwa mahaba "d unajua keshokutwa naingia kwenye heat, unaonaje ukini.....a leo na kesho? Njoo basi nkupe baby.. na kesho ukirudi kazini nakupa tena cha mwisho mwisho".

  Hapa ndio utagundua kuwa uzazi wa mpango unaboresha mahusiano pia. We kama huamini jaribu kumwambia mr wako hivyo uone jinsi atakavyotasabamu na kukutafuna kwa furaha.

  Kwa hiyo chanzo cha mimba ni ujinga wa mwanamke. Unajua kesho huwezi kutoa, sasa kwa nini hukutoa jana?
   
 10. Tosha

  Tosha Member

  #10
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Duu hiyo ingeleta balaa zaidi daa yaani sipati picha kweli lazima kuwe na aliyeprogramme njinsi miili inavyofanyakazi naye ni MUUMBA! tatizo ni UELEWA na kukubaliana na hali halisi kwa wanaume!

  nimeongea na baadhi ya wanawake walipo katika NDOA duu utasikia aah mimi sikupanga nipate mimba lakini siunajua majukumu ya unyumba wakati mwingine huwezi kukataaa hii inatokea hasa kwa watoto wa kwanza na wa pili baada ya hapo ni mwendo wa njia za kisasa tu hata km mume hajui japo its very bad kwani ni muhimu MAZUNGUMZO na UELEWA kitu ambacho inasemekana ni kigumu sana kwa wanaume hasa katika ndoa changa japo sio wote
   
Loading...