Natafuta lesbian! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta lesbian!

Discussion in 'Love Connect' started by Typhoid, Feb 7, 2012.

 1. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie ni mwanaume! Nahitaji lesbian wa kunifundisha romance! I am very poor kumprepare mwanamke kabla ya tendo la ndoa! Naamini nikimpata lesbian anaweza kunisaidia practically! Bei kuanzia laki moja kwa siku! Atakaenisaidia kumpata ani-PM nitampa zawadi pia!
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Si utafute videos? Ama unataka practikale?
  All the best, though this old trick aint working I guess.
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Wapo wengi humu utawapata tu kuwa na subira
   
 4. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hizo hela ungeinvest kny mikanda ya dvd za ngono lol....pitia pia website za kikubwa,utajifunza....lastly kama mko incompartible na partner wako muachane tu tafuta mtu unaeendana nae...lol
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  lesbian hawezi kukufundishja ..hawatakubali hio bahati nilikuwa nayo mimi tu. wewe labda utafute ma gay
   
 6. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu nahitaji kufanya practical! Sihitaji kuangalia dvd
   
 7. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sitaki kuachana na Mtamu wangu! Ila nahitaji mbinu za kumfanya anate zaidi kwangu! Lesbian is a solution cz nimeangalia dvd zao nyingi wanatisha! So nataka wanipe somo face to face! Mnato kwa mnato
   
 8. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  so mie hio bahati siitaipata?
   
 9. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  lazima kutakuwa kuna mwanamke aliyekuondolea kujiamini kiasi hiki,pole.....kujifunza practikale itakuwa ngumu...sababu kila mwanamke ana sehemu zake ambazo akibonyezwa ana respond,huo mwili wa lesbiani hautakuwa sawa na wanawake utakaokutana nao....wee jua basics tu kwa kuangalia video na kutembelea website za kikubwa.....then unajaribishia kwa huyo mkeo...in trial and error way lol....unajaribu huku ukiangalia anarespond vipi...kama anapenda atakujulisha kwa kulegea na kama hapendi atatoa mkono wako...kuonyesha hapo sipo na wewe unatafuta sehemu nyengine ambayo atarespond,hivi ndivyo tunavyofanya...lol kama harespond kila kitu chochote unachomfanyia ni kero jua hakupendi hauko mawazoni kwake lol.....na pia jaribu kuwa muwazi kwake kwa kumuuliza ni sehemu gani akishikwa anafurahia.....unaweza ukafanya hivyo kwa kumtext sms ya mapenzi ingawa usilenge moja kwa moja inaweza kuwa turn off lol
   
 10. B.O.G

  B.O.G Senior Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama nilikuwa unyagoni vile
   
 11. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thank you so much neema you changed my mind! Stay blessed
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Tafuta wanaumeke wenzio wakufunze.
   
 13. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Unaonaje wewe ndio ukawa kungwi wake?
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  hata mimi nimemuambia..atafute wakameruni
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  wewe tafuta ma anti wapo kibao mombasa huko
   
 16. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yani wewe una mdomo mchafu mpaka huku?
   
 17. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Tafuta chagudo lililo kubuhu kwa huo mkwanja uliotangaza,utafundishwa kila aina ya mbinu.
   
 18. King2

  King2 JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  U Gay!
   
 19. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #19
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mmmh asa uyo lesbian si anakua activ na malesbian wenzie...wee tafuta gay mwenzio mpeane mambo!!maana unaonekana mapenz ya jinsia 1 yanaku vutia
   
 20. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Sasa hapo kilichokukwaza nini?
   
Loading...