Mimi ni mdada wa miaka 29. Natafuta rafiki na kama mambo yakienda vema we can share the rest of our life together.
Sifa zangu
Dini - mkristo
Mrefu wa wastan around 168cm
Maji ya kunde...
Yananichanganya sana haya maneno hasa juu ya tofauti iliyopo kati yake. Naomba tu mniaeleze ili nami nijue tofauti yake. Maneno yenyewe ni haya:
Umalaya, uasherati, uzinzi na ukahaba. Nini...
Kuna jamaa yangu hapa anahuzunika sana,ana ma gals wengi tu,wamejitahidi sana kumtumia kadi za valentine,zawadi,sms kwa wingi.Anacholalamika ni kwamba,yule anae mpenda,hajajisumbua hata kufanya...
Usiku WA jana,rafiki yangu ambaye ameoa hivi karibuniamenihadithia kituko cha kimahusiano.Ilikuwa hivi: jamaa alikuwa na mkewewakiangalia taarifa ya habari TBC1.Sasa mkewe akawa anatuma ujumbe...
Better Sex Starts Here If you want to turn up the heat in the bedroom, it can be as simple as lacing up your sneaks. After all, staying in shape doesnt just help you look goodit can enhance...
*Habari zenu wana jamiiforum wenzangu? Naitwa Sagao niko Mbeya, natafuta marafiki wa kuchat nao popote ulimwenguni, sina ubaguzi wa dini, kabila wala umri. Email yangu ni sagaonew@gmail.com na...
Tangu jana saa moja usiku, kila navyoruka hewani simu yake iko bize, bahada ya muda ikawa haipatikani kabisaa, nikituma sms "not sent", saa kumi usiku huu nampata hewani! ananikatia cm! Jamani...
Babari zenu waungwana,
Kwamasitiko makubwa sana naandika haya,mimi ni mama wa watoto 2 tumeishi na mumewangu kwa dhiki kiasi ambacho hata hela ya kodi nalipa
Mimi na haikunikera nilijua kua ipo...
Rafiki yako anakutumia meseji kukusallimu, halafu mwisho anamalizia na msalimie mkeo! anaweka na alama za kushangaa tatu (!!!), maana yake nini aiseee? Au nishaibiwa?
---- Message hii imetumwa na...
Wana JF, kusisitizia hoja alietoa Ndugu Mutabuzi yesterday kuhusu ndoa na mahusiano ya sasa, Naomba kila mmoja mwenye ndoa and partner humu ajaribu zoezi la kubadilishana simu (Mobile Phones) na...
Imeshauriwa wawili manaopendana mke na mume,Wachumba badilishaneni simu za mkononi kwa masaa angalau sita siku ya Valentine ili kuonyesha uaminifu na upendo wa dhati,mpe mpenzi wako simu yako...
Habari za leo ndugu wana jf,jana jioni nilivyorudi nyumbani toka kazini,nikiwa chumbani kwangu nikawasikia majirani wakijadiliana suala la ugomvi wa mpangaji mmoja kuwa waligombana na mumewe kisa...
jamani kwanza ninawatakia valentine njema wale woote ambao mapenzi yao hayana matatizo wala migogoro..
pili ninaomba msaada kwa hili jamani.. i hav a girl who used to love me so much.. na siku...
Leo ni siku inayoitwa Valentine Day. Wengi wetu tunafahamu historia ya kidini ya siku hii. Sitaki nizungumzie hilo. Maoni yangu ni namna siku za hivi karibuni siku inavyopotoshwa kabisa. Leo...
Nilipo maliza kidato cha sita nilienda kuishi katika kijiji cha usangi,ambacho kipo wilayani mwanga mkoa wa kilimanjaro,nilikutan na mwanadada mmoja aliyeitwa neema.Ambaye nilifanikiwa kuanzisha...
Nimesoma sana posts za MMU na nimegundua kitu: wanaume wengi wanaamini kuna wife material na girlfriend material. Wife material ni mpole, mtiifu, ana background nzuri, ni msomi kiasi, future...
migogoro mingi ya maisha ipo kila kukicha,
mafarakano mengi ndani ya mahusianoi yapo kila dakika.
lakini hiyo bado haituzii kupenda, kutunzana namengineo mengi.
kuna mambo mengi yanayotufanya...