Ugomvi mwingine hauna maana.

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Habari za leo ndugu wana jf,jana jioni nilivyorudi nyumbani toka kazini,nikiwa chumbani kwangu nikawasikia majirani wakijadiliana suala la ugomvi wa mpangaji mmoja kuwa waligombana na mumewe kisa mume alimshutumu mkewe kuwa amejamba(kuachia ushuzi),nasikia ilikuwa bonge la zogo.Jamani wenye ndoa na mlio na wapenzi tuwe tunavumiliana kwa mambo madogo na hata makubwa ili ndoa zetu zidumu kwa muda mrefu.Nawatakia Valentine njema wote.
 
watu wengine bana..asa kitu gani hicho cha kusababisha ugomvi??Mweeeeeeeeeh!
 
Yawezekana tumbo lilikuwa linamuuma ikabidi auachie tu.
Ila hakuwa mstaarabu maana kama wataka kupumua kutumia masaburi ni bora uende mbali kdogo na sehemu ambayo haina watu au hata chooni ndio auachie.
 
mwingine huwa unakera sana km kala mayai na pepsi unategemea kutakalika hapo room kweli
 
hahahahahahahahahahahah..............mnavumiliana tu..chukulia apate kidonda kinchonuka uvundo...............ushuzi kitu gani bana!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom