Valentine Niliemtegemea Kaingia Mitini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Valentine Niliemtegemea Kaingia Mitini!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Michael Scofield, Feb 14, 2012.

 1. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tangu jana saa moja usiku, kila navyoruka hewani simu yake iko bize, bahada ya muda ikawa haipatikani kabisaa, nikituma sms "not sent", saa kumi usiku huu nampata hewani! ananikatia cm! Jamani usingizi nimekosa, watu washanipiga bao!

  Naona leo 14.02.2012 ni siku chungu kwangu.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Sasa usaidiweje hapo?
   
 3. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  ni nani yako hadi unakosa usingizi?
  I mean una urafiki nae au ni nani? maana hkujali leo hii
   
 4. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni mtu niliemtegemea sana!
   
 5. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hata ukinipa pole na maneno yako ya hekima na busara naweza poza maumivu.
   
 6. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana hata hajafanya kitu chochote,ushatune kwenye mind yako siku ya valentine ni ya kuibiwa hao mnaowaita ma Gf.

  Kwa nini umetegemee trh 14.2.tu,what about other days?

  Love shuld b always,not valentine day.
   
 7. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu siku zote zina upendo, lakini siku kama hii inatakiwa muwe karibu sana na muonyeshe ni jinsi gani mnajaliana!
  Kwani wewe siku ya sikukuu, familia yako uwa inapika vitu vizuri, kwani ndio kuonyesha siku zingine hamli vizuri au ni furaha kwa special day?
   
 8. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  For me and my Gf,kila siku ni valentine,off course ndo cku ya wapendanao,usiwe confused kiivyo,amewasha,umepiga amekata,kesho haipo?utajua ni nini kinaendelea.

  Tatizo umeweka akilin siku ya valentine,ni cku ya kuwa close cnaaa na ur Gf,siyo mbayaa,its true,but siku zilizopita hajawah zima simu???,hujawah send text ikawa not delivered???,hujawah kumpigia akakata????.That uliemtegemea hiyo cku,ana vijitabia gani??.nzuri,mbaya??!nataka nikuambie kitu hapo.

  USIIKUZE CNAAA HII SIKU,NA UKAJUA IT'S A WORSE DAY.IT'S A NORMAL DAY,LOVABLE.

  Mtafute leta ujue,why she did that.
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Bora kule kwa Husn ungenichagua mie, unaona sasa? Na mie kufanywa plan B staki. Imekula kwako, pole weeh!
   
 10. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu chriss we acha tu! mpaka naleta jamvini! kuna sms ya utata aliyonitumia ndio inanichanganya akili.
   
 11. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Lakini we bado una nafasi, Husn si alisema wa JF?
   
 12. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #12
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kashasend na sms ya utata,hapo mmmmh...have courage,and love ur family and fnds..
   
 13. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #13
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ndio hivyo mkuu! but inauma kweli.
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Too late papaa! Sikubali kuwa emergency number kama wewe ulivyowekwa na huyo bibie. Vuta subira, akitoswa huko aliko huenda akakusaka baadae. All the best.
   
 15. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jamani King'asti! hata wewe haunionei huruma mtoto wa mwanamke mwenzio? kwahiyo siku ya leo sina wa kunifuta machozi?
  Wallahi nitajipiga ban ya mapenzi kwa stahili hii. nakuomba king'asti usikie kilio changu.
   
 16. Atubela

  Atubela JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 180
  Come to me baby!
   
 17. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #17
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mpaka nipate jibu kutoka kwa King'asti.
   
 18. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #18
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  hapa pole mdau.
   
 19. Zabibu

  Zabibu JF-Expert Member

  #19
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pole mwaya
   
 20. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #20
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Pole sana... anza plan B sasa
   
Loading...