Je, Unataka kujua kama Ndoa yako/Mpenzi wako ni wa kweli leo leo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Unataka kujua kama Ndoa yako/Mpenzi wako ni wa kweli leo leo?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by LexAid, Feb 14, 2012.

 1. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wana JF, kusisitizia hoja alietoa Ndugu Mutabuzi yesterday kuhusu ndoa na mahusiano ya sasa, Naomba kila mmoja mwenye ndoa and partner humu ajaribu zoezi la kubadilishana simu (Mobile Phones) na mpenzi wake kwa siku ya leo tu muone vichefuchefu. halafu tuweke matokeo humu jamvini. Naamini 90% or more will be shocked!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkuu,
  sio siku nzima, lisaa limoja tu latosha!...nusu ya ndoa zitakuwa zitaharibika beyond repair!
   
 3. juma sal

  juma sal Senior Member

  #3
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kweli mkubwa hiko ni kipimo sahihi....big up ila mm siwezi fanya hiyo kitu
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kwanini mkubwa?
  Si unampenda mtu wako, na ni valentine wako?
   
 5. g

  gongolamboto JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 512
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Mie nilimwachia mke wangu simu yangu mwezi mzima na ndoa haijavunjika. Simu siyo tatizo katika ndoa, tatizo ni matumizi ya hiyo simu. Unatakiwa uwe na limit kwenye kugawa namba zako
   
 6. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kuna watu wanatumia namba ambazo wake/waume zao simu zake hawajawahi ziona
   
 7. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  nimefanya hivyo na nimelock simu zote siziingie wala sms kwahiyo ni kama anatembea na mche wa sabuni
   
 8. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  kazi yoote hii maisha yenyewe mafupi!
   
 9. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  wengine watapelekwa hospital kwa mtindo huo....
   
 10. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huko ni kutiana majaribuni!
  Kwanini haya yote lakini?
   
 11. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,442
  Trophy Points: 280
  hii mbona sio dawa, watu wana simu zaidi ya moja, ukiamwachia simu unawahi kuwaalert mashost...
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Simu tu hata password za email zangu akitaka nampa pia...
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  na password yako ya jf na fb?
   
 14. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #14
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  acheni kabisa mnatafuta presha za bure
   
 15. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Ebu wenye ndoa tuendelee kuwa wavumilivu kubadilishana simu muda huu utachanganyikiwa bure
   
 16. bahatika

  bahatika Senior Member

  #16
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 121
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kubadilishana simu hakutsaidia zaidi ya yote kutabomoa familia na kusababisha watoto kuhangaika, kwa kifupi huwezi kumchunga binadamu mwenzako ni Mungu peke yake ndiye aonae SIRINI ni kuombeana msiingie majaribuni
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  JF & FB na hata gmail i'm clean buddy...i don't need to worry
   
Loading...