Sipati Penzi la dhati.

huzayma

Senior Member
Mar 14, 2011
126
31
natafuta penzi la kweli na la dhati, silipati duh! hadi nimechoka mie.
sasa basi ni bora kushukuru Mungu ndio majaliwa yangu.:embarassed2::shock:
 
mie mwanamke, niko kama sharobaro kwa jinsi anavyolia hapati penzi la kweli ndio mana yangu, sio sharobaro kivitendo duh! hamumsikii sharobaro nyimbo zake zote analilia mapenzi ya kweli?
 
Hembu fafanua binti, unatafuta
- Mume
- Mchumba then Mume
- Mshkaji wa kubuzbuz nae
be openly tukutafutie tuna mavijanaa lukuki mabarobaro wako "mambo safi"
wanatusumbua tuwatafutie wachuchu wa kuoa.
 
mi napenda masharobaro wa kike. utasikia anakuambia "umeweka kusiko, sio huko meeen". njoo nikupe mambo meen. Ohh...mmmama!!!.
 
yule uliezaa nae nae kakmbia!tulia tu ndugu takufa na strec xa malovee
 
Najua inbox yako ya pm inakaribia kujaa,ila we Ni-pm uone!
 
Uwe mwanaume ama mwanamke.... Mapenzi hayatafutwi kua sasa natafuta penzi la dhati.... Mapenzi hayana formulae... Yanaenda with flow... na usije ona una bahati mbaya ya kupata wapenzi ambao sio ukafikiri ndio mwisho wa dunia na kua wewe una nuksi... HAPANA! Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake, kua mvumilivu, usifuatananishe mahusiano (yaani jipe breathing space ya kutosha kati ya breakups); na invest on a relation ship.

Mapenzi ya dhati hayawi one sided, yanakua pande zoote; hivo jua kama wewe sio ya dhati dhidi ya mwenzio baas ni kazi saana kupata ya dhati toka kwake.. Uzuri wa mapenzi ya dhati hata kama mpenzio hakutaka kukuchukulia serious, once s/he realizes kua you are good (hasa kwa an appreciative person) utajikuta nae aji-tune kua na penzi la dhati dhidi yako hadi mwajikuta siku za songa. Kumbuka kua unaposema Mapenzi ya dhati haina maana hayana madhaifu yake wala kasoro.... Wapenzi wanaopendana lazima watapitia ups' and downs' na kuweza himili hivo vishindo na obstacles ndio hasa hufanya penzi lenu liwe la dhati.... Usikate tamaa it is a wonderful thing to be In Love and to be Loved.... Iko siku yako itafika tu! Na mtu wako yuko somewhere nae akilalalama hapati penzi la dhati.

Best of Luck katika Love Huzayma. Pamoja saana!


Nalog off Source; Washawasha.
 
anza wewe kuonyesha mapenzi ya dhati kwanza then ndio watu wengine nao wata-reciprocate accordingly
 
Penzi la dhati....... love................. Haiji kwa kutafuta. Litakuja tu pale wewe mwenyewe utakapo weza kutoa penzi la dhati. Penzi halisikiwi kwa masikio lakin mpaka uweze kufunguwa sikio na macho ya moyoni. Kwanza jifunze kuona na kusikia kwa moyo ndipo utaweza kulitambua penzi la dhati litakapo kupitia. Good luck.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom