Nasubiri nione kama nawe watakushambulia kama walivyofanya kwa jane 000 pale alipotangaza kutafuta bwana!
Sijui nawe utaitwa malaya, au watakupa shavu kuwa ni rijali who dare to express his feelings!
By the way mimi nakurespect n l hope utampata!