Jamani naweza kumwambia nakupend sana blah blah nk
Wengine haya mambo yametupita pembeni, i need the one with swagaz
Mkuu hiyo ni sawa lakini ipo kawaida sana si unajua yupo chuo atataka kuwaonyesha wenzio jinsi ninavyo jali na wakisasa zaidi kwa sms yenye swaga..........well well well! so simple mkuu we mwambie tu unampenda sana na hutacheat tena kuanzia leo ni hayo tu mkuu paulss
Paulss come on don't tell me creativity yako imeshindwa hata kwenye kutunga SMS nzuri kwa ajili yake, if you love her definitely you'll have something to tell her
Im serious RoulettePaulss I can't believe you are serious. lol
Afadhali umeona hili dada yangu watu wachoyo sanawatu wachoyo jamani....haya.....mpatie ile wewe umepatia wakwako......
Before you send the google message makke sure you have spiced it up with your own words... labda kuna mtu anawangia mali yako nae aliisoma. lolIm serious Roulette
But thanx to google, found plenty of them and i picked one
Swali la kizushi naweza kumtumia rafiki yangu wa kike(just a friend) salamu za valentine?
Wadau toka asubuhi najaribu kutafuta sms nzuri nitakayo mtumia laazizi wangu yupo mbali nami masomoni Mwanza
Naombeni nisaidieni kwa kuweka sms mbali mbali za valentine so i can pick one,
iwe ya kiinglishi tafadhali, nawasilisha
Kama ulikuwepo vile, nimei edit kimtindoBefore you send the google message makke sure you have spiced it up with your own words... labda kuna mtu anawangia mali yako nae aliisoma. lol
Jibu kwa swali la kizushi: Why not mkuu? kwanza nasubiri yangu...:tongue:
Mkuu lugha gani umetumia hapa sijaelewa kabisa, nimejaribu google translate imeshindwa ku tafsiriemh npe no yke mi ntampelekea adi rumun kwake co vzur kum2mia kwa cku kama ya leo, op ypo saut
Sasa kama ile ya kwangu niliandika "I wont cheat again" na yeye akai-forward hivyo hivyo...lol...:eyebrows:watu wachoyo jamani....haya.....mpatie ile wewe umepatia wakwako......