Shugamami na serengeti boys nani humtongoza mwingine?

ANTA

Member
Nov 20, 2011
66
7
Kajamaa kamemzia mtu mzima umri kama wa mama yake. kusema kweli kazi
haziendi kila siku kakidai hakajiwezi kwa mama huyo mpaka kanaharibu kazi ofisini.
Washauri wengi wamekaambia kuwa, huwa sio rahisi serengeti boys kumpata/kumtongoza
jimama na ukichukulia mwonekano jimama huyo ni wa kujiheshimu.
Kajamaa kakikazana eti mbona friend yake anaye kama huyo na anado? Mshauri
amesisitiza kuwa kasijaribu, hiyo inawezekana tu jimama mwenyewe akimzimia
serengeti boys, ataweza kumshawishi na kumpata, lakini usijidanganye kama
serengeti utaweza kumpoteza mama mtu mzima na kumpata tena yule anayeonekana
anajiheshimu.

KAJAMAA KAFANYE NINI? KAMA JIMAMA HUYO NDO DAWA YA MAWAZO YAKE.
na ni kweli mama mwenyewe mkali kinoma, namheshimu ila lazima niseme ukweli.
 
Kaulize hako kaserengeti boy, kanmpenfa kweli jimama au kanapenda pesa yake?
 
Kwakuwa hujui kujieleza hata hapa kwenye thread umefix kumbe ni wewe angalia kibarua utajuta!!hawatongozwi ila wanashawishiwa kwakuwa mnyenyekevu,au kama anakamata mayi mtafute viwanja vyake na usiwe mapepe utaumbuka!!
 
hapana mkuu, sio mimi, niliposema ni mkali niseme ukweli, nadhani hukunielewa, ni kwamba ni mkali kwa kuwa namfahamu, nami
namkubali mtu mzima 'kweli ng,ombe hazeeki maini', ila kumtaka ni haka kajamaa ndo kanamtaka.
 
Kaulize hako kaserengeti boy, kanmpenfa kweli jimama au kanapenda pesa yake?
Kameniambia
mengi na kamenionyesha huyo mtu. namfahamu jimama mwenyewe, pesa anayo ya kawaida tu, wala hana mapene ya
kumshawishi mtu anayepata kijimshahara chake cha 500,000/=.
 
serengeti boy hawezi kuwa na ubavu wa kutongoza jimama... ni lenyewe tu likimtaka litampiga sound
 
Fanyeni kazi vijana acheni kupenda mteremko , kwa akili hizi umaskini hauwezi kuisha.
 
Kameniambia
mengi na kamenionyesha huyo mtu. namfahamu jimama mwenyewe, pesa anayo ya kawaida tu, wala hana mapene ya
kumshawishi mtu anayepata kijimshahara chake cha 500,000/=.

Basi amfuate, ila yahitaji courage na umakini sana. Ujasiri ni kitu wanawake tunaadmire from a man; umakini ni muhimu, ili asionekane ni player au kijana muhuni tu. Ni challenge sana kijana kumface mama anayejiheshimu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom