Ukabila ktk mapenzi

bface

Senior Member
Dec 22, 2010
128
19
Naomba ushauri ktk makabila haya,,chagaz,nyakyusa,waha en wahaya nmeambiwa nisithubutu kuoa btn them coz all of them are the money oriented,my family warned me although they are btful na wanajua utafutaji kujishugulisha kiuchumi,,, wat can I do!!! Coz am in love wit one among them
 
luk man....hizo traits ni kweli na hivyo a clever man will take those into consideration wakati wakufanya maamuzi. wewe jiulize je mie ninaweza ishi na mtu anayependa pesa sana? asikudanganye mtu hivi vijitabia vya makibila vitajitokeza tuu katika maisha ya ndoa so bora ilijue hilo mapema. mie personally sipendi watu wanaopenda hela nataka mtu anayeheshimu hela. so mie makabila haya ni no no!!!!
 
hao familia yako waliokuonya wamekuonyesha ushahidi wa madai yao? wewe una uthibitisho kuwa ni wazuri, na ni watafutaji kiuchumi. ushauri wangu ni kuwa nenda kwa familia yako ukawape uthibitisho kuwa hayo makabila wanakufaa,kwa vigezo hivyo ulivyoandika hapa. ukiwashinda familia yako basi chagaz, nyakyusa, waha en wahaya wote mali yako
 
luk man....hizo traits ni kweli na hivyo a clever man will take those into consideration wakati wakufanya maamuzi. wewe jiulize je mie ninaweza ishi na mtu anayependa pesa sana? asikudanganye mtu hivi vijitabia vya makibila vitajitokeza tuu katika maisha ya ndoa so bora ilijue hilo mapema. mie personally sipendi watu wanaopenda hela nataka mtu anayeheshimu hela. so mie makabila haya ni no no!!!!

That is Great!!! I like it thanx
 
make decisions based on your own specific/particular case, acha generalizations
 
Yaani kabila tu ndio liwe kikwazo. Hujapenda wewe.

Suala la kuchagua mke ni very wide coz ukikosea hapo ndo umeharibu ua life forever ingawa utakuwa umependa kwa dhati so take it into consideration pliiiz,,
 
Back
Top Bottom