hakuna jipya kuhusu valentine...ulimbukeni mtupu!!

Pole umetoswa nini
Au channel zote zinaonyesha mchelemchele
tehe,..co kiivyo bana...
hakuna uhalisia wowote,..copy n paste tupuu...
af watu wote wanatarajia kula tunda VD...prrrrr
 
tehe,..co kiivyo bana...
hakuna uhalisia wowote,..copy n paste tupuu...
af watu wote wanatarajia kula tunda VD...prrrrr
Licha ya hapo badala ya kufanya kile mwanzilishi wake alichofanya imegeuka kuwa ndo siku ya ngono kupindukia
Siku ya wasio na nyumba ndogo kutafuta nyumba ndogo au siku ya kutafuta mtu wa kufanya nae ngono
 
Mimi ndo maana siipendi hii siku. kama ni mapendo unapaswa uonyeshe kila siku na si siku moja ya mwaka. kama ni zawadi toa kila mara si kusubiria tarehe 14 feb ndo utoe zawadi. uongo mtupu katika siku hii.
 
Mi nampenda wangu daily sio tu 14-feb kwa malimbukeni ndio wanaona siku hii ya leo ni muhimu sana kwao....Mpende mtu wako sio kusubiria Valentine day.
 
Licha ya hapo badala ya kufanya kile mwanzilishi wake alichofanya imegeuka kuwa ndo siku ya ngono kupindukia
Siku ya wasio na nyumba ndogo kutafuta nyumba ndogo au siku ya kutafuta mtu wa kufanya nae ngono
kutuongezea maambukizi tu...ppprrrrrr!!!ctakaa nikafanya huo ujuha kamwe...
 
KAJIPANGE UPYA....!!

hearts-flwrs.jpg

matokeo ya utandawazi hayo ambayo yanafanya tulishwe kila aina ya utumbo kutoka nchi za magharibi
 
tehe,..co kiivyo bana...
hakuna uhalisia wowote,..copy n paste tupuu...
af watu wote wanatarajia kula tunda VD...prrrrr
Nikumbushe jAMAANGU, hivi sherehe gani ambayo si copy & paste?
X-Mass?
Idi?
Birthday?
Kitchen [Party?
Huh!
Usitake tubakiwe na ngoma za Mkole tu aisee jamaangu!
 
Many youth thought zat,its a day to show da real love to their boyfnd or galfnd.But it's not.Ni siku ya uharibifu,ugomvi,kuibiwa gf or bf..

Many thought its a day of having sex with their lovers.
 
In essence, this is just a business day and shrewd people have capitalized and make lots of money! What is so speacial about it that we give it the attention its given?
 
​ni ulimbukeni kweli MAPENZI Hayana siku ni uzinzi na umalaya unawasumbua
 
Back
Top Bottom