Wasemaje wanasema................ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasemaje wanasema................

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Feb 28, 2012.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  A way to a man's heart is through his stomach................. Kwa tafsiri yangu ya elimu ya ngumbaru ni kuwa ukiwa mpishi mzuri wa chakula, basi umewin moyo (mapenzi) wa mpenzi/mume wako.......

  Najaribu kuwaza
  1. Je kuna ukweli katika usemi huu....................?
  2. Kama ni kweli, unatuweka wapi katika dunia ya sasa ambayo mpishi/mtengenezaji wa chakula hiki si mke/mpenzi bali ni mdada wa kazi??
  Kina kaka how effective is this kwenye kapu lenu la mahusiano?

  hamjambo lakini?
   
 2. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama kupika ni carrying then kuna ukweli kidogo...
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  mpishi wa chakula kipi?
  Cha usiku?

  Anyway, hata kama hausigelo anapika vizuri, sifa kwa maza hausi sababu ndo anasimamia.
   
Loading...