Wale wanaopigwa na kudhalilishwa katika mahusiano ni "Victims" au "Survivors"? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wale wanaopigwa na kudhalilishwa katika mahusiano ni "Victims" au "Survivors"?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee Mwanakijiji, Feb 28, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Ni mjadala mzito nnilikuwa na jamaa yangu mmoja ambaye anashughulikia hapa mambo ya Domestic Violence. Position zetu zilikuwa mbili tofauti moja ni kwamba huwezi kuwa survivor bila kuwa victims - you have to move from being a victim to being a survivor. Position nyingine ni kuwa ukishasalimika na mambo haya wewe siyo victims ni survivor. Je, ni wakati gani mtu anakuwa victim (mhanga) na wakati anakuwa ni survivor?
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Kwa ufaham wangu wa kiingereza cha kimaskini cha darasa la saba cha miaka ya tisini ni kuwa mhanga ni alieathiriwa na jambo ila alieokoka hajaathiriwa na jambo au kadhia hiyo!
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Unakuwa 'victim' pale unapopigwa na mtu aliye na power juu yako. Power inaweza kuwa katika mfumo wa kipato(inakufanya unakuwa tegemezi), nguvu(labda umeolewa/oa baunsa)

  Unakuwa 'survivor' pale ampapo hali hiyo ya kipigo inaisha aidha kwa wewe mwenyewe kuchukua hatua za makusudi au natural justice inapochukua mkono.
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ni victim wanaathirika na vipondo vya kila siku
   
 5. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mtu anakuwa ni victim wakati akiwa ktk hizo ordeal,na anakuwa survivor hayo makasheshe yote yakimalizika na akabaki anakuwa ame-survive...
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wengi wao wanakuwa victim forever...
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Lakini siku hizi taasisi nyingi za haki za binadamu na za wanawake hawtaki kutumia neno "victim" wenyewe wanasema ni politically uncorrect. Wanasema hawa siyo "victims" bali ni "survivors". Je ni vizuri kuondoa hilo la victims?
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hizi taasisi nazo
  zinashiriki kwenye 'abuse'...
  ku deny mtu kuwa sio 'victim'
  na anahitaji 'tiba' maalum ni kumuongezea matatizo...
   
 9. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu, I think victim ni yule ambae ameshindwa kabisa kujitoa, na hata hashtukii hali yake.
  Survivor ni yule ambae yuko katika hali ya kua abused but is struggling to get out of it
  Everyday is a survival day, with hope that ipo siku atatoka, or she/he has gone beyond and has actually ended the violence kwa njia moja au nyingine.
  The terminology was probably adopted to challenge the 'victims' ili waelewe kua a shift in mentality means a shift in situation. A victim is not in control, a survival is.
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,250
  Trophy Points: 280
  As long as you are still abused you are a victim. Unakuwa survivor baada ya kutoka katika hiyo arena.
  So hata kama uko kwenye process ya kujikwamua bado ni victim unless umefikia mahala penye matumaini, mfano separation.
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Survivors are the ones who have managed to break the 'circle' of abuse and gotten OUT of it...while victims are the ones who still lives IN it. Yani...one can not be a survivor while still trapped in a situation where they are not in control of the way they are being treated.
   
 12. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Lizzy, King, in the specific context of domestic violence the ones who are still abused but who have started to take measures out of it are also called 'survivors' in the jargon.
  Because they want to survive, they are struggling to get out of it. they survive on a day to day basis.
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  victim wakati unakula kipondo heavy daily......

  survivor kama 1. umeweza kuvumilia vipigo hadi mpigaji alipojirekebisha (hii huwa haitokeagi sana hii)
  au 2. kama umeweza kujinasua/ kuachana na mtoa kipondo
   
Loading...