Critical dillema, unamshaurije huyu bwana?

SIPIYU30

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,614
2,009
Hodi wanajukwaa,

Kuna jamaa mmoja, umri 27 yrs, nahisi kachanganyikiwa na mapenzi. Historia yake inaonyesha amekuwa hurt na mpenzi wake wa kwanza. Baada ya kuachana na huyo mpenzi wake, akakutana na mwingine ambaye kwa kauli yake anasema hajawahi kukutana na mwanamke mzuri kama yule. Ingawa ana mtoto mmoja lakini walipendana sana, na akasema kuwa hatokuta mwanamke anayejua kupenda kama yule. Jamaa akiwa Dar, mwanamke alikuwa Morogoro.

Baada ya muda akapangiwa kikazi Dodoma, akakutana na mdogo wa huyo demu wake. In short, kadiri siku zilivyoenda, huyo binti (shem) akawa anajisogeza kwake bila kujua kama dada yake ndo mmiliki. In short, hao mabinti (mtu na dadake) wote ni wazuri sana kwa maana ya kuumbika, na kadiri muda ulivyosonga ndivyo alivyonyemelewa na penzi la shemeji yake huyo na mpaka sasa yuko ndani ya 18, anavuta pumzi, ameshaambiwa piga, ila anashindwa afanyeje. meshika kiuno yuko njia panda apige penalt au aache, hebu mshaurini.

Hoja yake ni kuwa fimbo ya mbali haiui nyoka na uzuri wa huyu shemejiye unamtesa, apige au asipige?
 
so jamaa anajua kwamba huyo binti ni shemeji yake ila binti hajui kwamba jamaa yuko na dadake? kama jamaa anajua, basi amweleze ukweli huyo binti na waendelee kuheshimiana kama mtu na shemejiye
 
Kwa hiyo yeye anataka tumshauri afanye ngono zembe na huyo shemeji wake sio?
 
Huo ni upumbavu, ni wazi dhamira yako ishaamua bali unajaribu kutafuta njia ya kuhalalisha ufirauni wako, hapo hamna mjadala ni wazi unajua hautakiwi kufanya hivyo and i'm warning you USIFANYE!
 
alafu haya mambo ya mapenzi ya mbali ndio watu wanajikuta kwenye dilema za namna hii...mie nakushauri mega tuu kaka
 
Ushauri wangu hapa ni kwamba jamaa aachane na mawazo ya kipuuzi kwani huyo huyo ni shemeji yake!

Kama vp shetani ashindwe na alegee kabisa kwani hana mamlaka hapa!
AMEEEN!
 
Hakuna cha shetani wala ibilisi,Huyo jamaa yako ndio ashad minal balaa tena kaanae mbali Kama anaweza kufikiri machafu hayo kwa shemeji yake seuze mke/ mpenzi wako atakuacha? Ukiona mwenzio ananyolewa bila kutiwa maji basi wewe Tia kabisaaa ..
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom