Mama, nina virusi vya UKIMWI

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,611
:
Kijana wa Kitanzania aishiye huko Marekani alimpigia simu mama yake.
Maongezi yao yalikuwa kama ifuatavyo:
Kijana: Mama, nina virusi vya UKIMWI!
Mama: Mwanangu, ninakusihi, ninakusihi, ninakusihi sana, usirudi nyumbani kabisa.
... Kijana: Kwa nini mama?
Mama: Endapo utarudi nyumbani, mkeo pia ataathirika. Mkeo akiathirika
atamwathiri pia mdogo wako. Mdogo wako akishaathirika atamwathiri pia msichana wetu wa kazi. Ujuwe mwanangu, msichana wetu wa kazi naye
atamwathiri pia baba yako. Baba yako naye atamwathiri mdogo wangu, mdogo
wangu atamwathiri mumewe ambaye naye ataniathiri mimi pia. Mimi nikishaathirika nitamwathiri mtunza bustani wetu. Mtunza bustani wetu
akishaukwaa atamwambukiza pia mdogo wako wa kike. Mdogo wako akishaupata
tu, ujuwe kijiji kizima kimeupata!
Mwanangu, kwa jina la Mungu, tafadhali, tafadhali kiokoe kijiji chetu.
Ninakusihi tena mwanangu, USIRUDI TENA NYUMBANI
kuwa makini chimba kisima cha peke yako unywe maji yako peke yako.
 
Great Chain so to speak
Better for him kubaki huko huko aise hiyo chain ni kubwa mno
 
Na huyo mama ana uhakika gani hao wa hapo nyumbani hawana? ..

Maana ukianza kusoma kuanzia chini kwenda juu utaona ya kwamba binti yake anaweza
Kuupata kirahisi na kuwaa ambukiza wote

Sababu anakula kijiji kizima ..
 
ndo maana inaitwa circle ya maambukizi madameee
 
A vicious circle. A true one.

This happens in many places where people live without the fear of THE COMMANDMENTS OF CREATOR.

For those who are involved, beware of the wrath of the creator.

STOP THIS NOW. No wonder this world is filled with illegitimate children who become mafisadis.
 
Duh!huo mzunguko nadhan sio kijiji tu ni taifa lol!
Hata ivo mama kasahau hata huku upo na inawezekana tayari ushaingia kwenye huo mzunguko!!!
 
:
Kijana wa Kitanzania aishiye huko Marekani alimpigia simu mama yake.
Maongezi yao yalikuwa kama ifuatavyo:
Kijana: Mama, nina virusi vya UKIMWI!
Mama: Mwanangu, ninakusihi, ninakusihi, ninakusihi sana, usirudi nyumbani kabisa.
... Kijana: Kwa nini mama?
Mama: Endapo utarudi nyumbani, mkeo pia ataathirika. Mkeo akiathirika
atamwathiri pia mdogo wako. Mdogo wako akishaathirika atamwathiri pia msichana wetu wa kazi. Ujuwe mwanangu, msichana wetu wa kazi naye
atamwathiri pia baba yako. Baba yako naye atamwathiri mdogo wangu, mdogo
wangu atamwathiri mumewe ambaye naye ataniathiri mimi pia
. Mimi nikishaathirika nitamwathiri mtunza bustani wetu. Mtunza bustani wetu
akishaukwaa atamwambukiza pia mdogo wako wa kike. Mdogo wako akishaupata
tu, ujuwe kijiji kizima kimeupata!
Mwanangu, kwa jina la Mungu, tafadhali, tafadhali kiokoe kijiji chetu.
Ninakusihi tena mwanangu, USIRUDI TENA NYUMBANI
kuwa makini chimba kisima cha peke yako unywe maji yako peke yako.

Hapo kwenye red panaonyesha hiyo familia ni hatari. Yaani mama anajuwa kuwa mumewe anatembea na mdogo wake, na yeye bila aibu anatembea na mume wa mdogo wake pamoja na mtunza bustani. Hii ni hatari, na bila woga stori hizi anapiga na mwanawe wa kiume wa kuzaa!!!
Naamini hatujafikia huko ila tukiendelee kutokuwa na utu na ubinaadamu tutafikia huko na mwishowe tutakuja kuteketezewa mbali! Tujiheshimu.
 
ndo maana mimi toka utotoni nilikuwa napenda kuwa shamba boy maana unagegeda tumaza house kama huna kaili nzuri...sasa baba kunipeleka shule haya madhara yake ndo haya naishia kuwa meneja wa mishirika ya kimataifa nakosa utamu huu...ma house boy na wakaka hata hawabebi boksi ulaya wanam click tu mama gaude wangu
 
Usikute hata huyo mama na huo mzunguko wake pia wanao manake binti yake kijiji kizima chote chake!..

Amzuie, asimzuie haisaidii manake wote utulivu sifuri.
 
Back
Top Bottom