Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

.....sentensi nimekuwa naisikia sana kutoka kwa kina dada walio single. Funny enough, kuna kina dada wapatao watatu niliowahi kuwasikia kwa masikio yangu (nafanya nao kazi) wakitoa kauli kama hii...
4 Reactions
117 Replies
9K Views
Kwanza nashukuru kupata fursa hii ya kulitembelea jukwaa hili kwa mara ya kwanza. Nawasalimuni ninyi nyote. Mie naanza na stori fupi kabla ya kuuliza swali kwenu. Hapo zamani nilipokuwa kijana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
imekuwa kama gundu coz nakubaliwa na nisiowapenda lakini ninaowazimia hasa kati ya 10+ niliowatongoza walinitosa,kasoro mmoja tu ambaye after a year mambo yakaharibika, Yaani sijielewi mpaka...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
jamani sasa hv mishahara ya wanaume inaingizwa kwenye a/c za wake zao hata kama wife ni mother house ofisi inamfungulia a/c inamuwekea mshahara woote wa mzee nyumba ndogo zitakomaje heri...
5 Reactions
81 Replies
7K Views
Nilikutana na huyu kaka mwaka 2007 kwenye harusi ya dada wa rafiki yangu.Huyu rafiki yangu ni kipenzi sana na amekuwa kama ndugu yangu,. Hiyo harusi nakumbuka ukumbi ulikuwa ni pale msasani...
1 Reactions
148 Replies
10K Views
Kama hauna imani na mwenzi wako,.. hauamini kama kila simu anayo pokea sio ya vimada au vidumu,... unaweza kuondoa hofu hiyo,kwa kumfuatilia kisiri siri katika mawasiliano yake yote! Akipigiwa...
3 Reactions
164 Replies
12K Views
Wadau naomba kushee kwa pamoja,eti ni sehemu ipi ni nzuri na muafaka kwa ajili ya mechi isiyokuwa na jezi,je ni kwenye kochi,chini,juu ya meza,juu ya sinki,kitandani,bafuni,chooni,kwenye...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwenu wanaume, mlio jamvini na nje ya jamvi! Naomba kupata uzoefu wenu katika hili, unaweza kukuta wakaka wanapiga story, aah yule demu hama kitu pale, kwanza K yenyewe yabariidi haina mvuto...
3 Reactions
79 Replies
10K Views
Kama wewe ni msichana wa umri tajwa hapo juu tuwasiliane kama unataka kuolewa mwaka huu lakini uwe mwenyeji wasingida au tabora kabisa,uwe tayari kupima,uwe tayari kutumia muda wako kujua ukweli...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF, Ni mara yangu ya kwanza ktk jukwaa hili jamani, nipeni ushauri katika hili. Nimeolewa na nina mtoto mmoja. Baba mkwe wangu alikuja kwetu kwa ajili ya kutibiwa toka mwaka jana. Ni...
1 Reactions
76 Replies
6K Views
Ladies wengi hawajui ni wakati gani wa kuwaomba misahamaha wapenzi wao.....kwa hiyo huishia kuwavamia........... at the wrong time, the wrong place and when their partners are in the wrong...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Former Growing Pains star Kirk Cameron is taking heat from GLAAD after remarks made on CNN's Piers Morgan Tonight. During Friday's interview, Cameron called homosexuality "unnatural" and...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mara nyingi nimeona hizi fashion za wadada kuvaa hizi tops zenye kuachia kidogo matiti lakini chuchu hufichwa......na miye lakini hupendelea kuchunguliwa na zile zinazojiimbia kuwa zenyewe ni saa...
1 Reactions
69 Replies
21K Views
Anahitajika msichana mwenye umri wa miaka 19 hadi 23 awe na sifa zifuatazo:- anaye jipenda, muelewa, mwenye fikra chanya na aliye na msimamo, urefu wa futi 5.5 na kuendelea, asiwe mnene au...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
nilichofanyiwa mimi sitasahau. niliingia humu jf sasa yapata miez 4 nikapata demu humu jf tumewasilia kwa muda akasema anaishi dar akaniomba nimtembelee nimeenda dar kumbe ana mume nusu wanibikiri...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Upo na mkeo kwenye eneo la matanuzi, hapo mmeagizia pombe na mnasubiri msosi wanguvu mle muondoke nyumbani Mazungumzo yenu hapo ni ya amani na vicheko kwa sana. Mara mgongeshane mikono, mara...
1 Reactions
71 Replies
9K Views
Siku moja jamaa mmoja alienda kununua viagra( dawa za kuongeza nguvu za kiumea) kwenye duka fulani la madawa, bac kulikuwa na docta pale akampa dawa flani na akamwambia ile dawa angeweza hata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wa kwangu sasa hivi natamani nimtafune nimmeze, presha imepanda, kichwa kinaniuma, yaani nasikia kizunguzungu, wana nini watoto hawa? Niacheni nilale nisije nikampasua kichwa!
10 Reactions
206 Replies
13K Views
Mimi ni ME mwenye umri wa miaka 28. Natafuta mchumba vigezo vifuatavyo. Mchapakazi Umri wa kuanzia miaka 24-26 Mwenye mwili wa ukubwa wa wastani Rangi ya kunde Mrefu wa wastani Elimu yoyote...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna mama mmoja jirani yangu ambaye siku hizi tabasamu halimtoki mdomoni...............nilipomwuuliza hizi nderemo ni za nini jibu alilonipa liliniacha kinywa wazi nikapigwa na...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…