kisa cha Docta na mnnua Viagra. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kisa cha Docta na mnnua Viagra.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by majogajo, Mar 3, 2012.

 1. m

  majogajo JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Siku moja jamaa mmoja alienda kununua viagra( dawa za kuongeza nguvu za kiumea) kwenye duka fulani la madawa, bac kulikuwa na docta pale akampa dawa flani na akamwambia ile dawa angeweza hata kupiga bao 18 bila kuchoka ila itategemeana na nguvu ya binti atakae tembea nae na akamsisitiza kuwa kutumia hi dawai binti hawezi akakuacha hata mzazi wake akifanyaje kutokana na dozi atakayopewa. tena dokta akamuulza kijana anategemea kuwa na game lini, kijana akamjibu siku hiyohiyo baadae kidogo. hivyo dr. akamsisitiza kijana anywee hapopo, ili baada ya lisaa ianze mambo yake. kijana akatii na akanywa ile dawa. baada ya kijana kuondoka kulikuwa na jamaa mmoja akawa anmwambia dokta huyu kijana aliyetoka hapa huwa anatembea na binti yako. na wanapendana sana. dr. akavuta kumbukumbu binti yake alimuaga ataenda kumtembelea rafiki yake na anategemea atachelewa au atalala huko kabisa. ungekuwa wew ndo dr. ungefanya nn? ukizingatia viagra aliyonunua kijana ndo itaende kumtendea kaz binti yako?
   
 2. Possibles

  Possibles JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 560
  Trophy Points: 280
  Peleka kwenye jukwaa la jokes au chit-chat
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  hii stori ya zamani sana. Ur late mkuu!
   
Loading...