Nicheke au nilie? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nicheke au nilie?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KIPAPATIO, Mar 2, 2012.

 1. K

  KIPAPATIO Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana JF,

  Ni mara yangu ya kwanza ktk jukwaa hili jamani, nipeni ushauri katika hili.

  Nimeolewa na nina mtoto mmoja. Baba mkwe wangu alikuja kwetu kwa ajili ya kutibiwa toka mwaka jana. Ni mtu mzima kwa kweli takribani miaka 70. Kiukweli keshapona kabisa, na mkewe yuko kijijini. Nina msichana wa kazi ambae ni ndugu yangu, ana miaka 16 (undugu wa mbali).Juzi asubuhi kabla sijaenda job niliingia rum kwa dada na kukuta AMELALA NA BABAMKWE wangu full naked! Kwa vile walikuwa wamelala fofofo (mida kama ya 11 asubuhi) hawakunisikia. Nilirudishia tu mlango na kuondoka. Hadi sasa sijamuuliza yule ndugu yangu na wala mume wangu sijamwambia. Naona aibu hata kuwashirikisha watu wanaomfahamu huyu baba. Ebu nisaidieni jamani, nikae kimya au nifanyeje? Baba haoneshi hata dalili ya kurudi kijijini ingawa keshapona.

  Nipeni ushauri wenu waungwana.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  dU!
  Laana ya Dunia hii!
  Mwambie Mumeo..huwezi kaa na jambo kama hilo peke yako...yeye ndo atajua jinsi ya kumwondoa baba yake...
  Lakini hakikisha umebakiza ushahidi wa kutosha juu ya tuhuma hizo nzito, maana vinginevyo utaonekana umemchoka baba mkwe na unataka aondoke tu, na hii inaweza kuteteresha mahusiano ya nyumba yenu!
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  OMG! Mtu wa kwanza kumshirikisha ingebidi awe mumeo.
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  laana si kidogo pj.
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Muondoe huyo binti haraka,huenda au kishatembea na mme wako!pia ni uchafu ktk nyumba
   
 6. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Du! tumia akili kumuondoa huyo binti. Maana babamkwe anaweza kugeuka mwiba katika ndoa yako. Bila shaka unazijua tabia za mumeo na atakavyokuchukulia ukimweleza hili. Kama litavuruga mahusiano usimshirikishe, mtoe binti kwa sababu nyingine, hii ihifadhi moyoni.
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duuu aiseee itabidi mwambie mmeo akakagua siku moja chumba anacholala mshua wake akimkosa ndio unampa full news ata yeye atakuwa hanalakubisha kiaina tu halafu itabidi ukampime mdogo wako mimba usijeleta uzi mwengine hapa wa mimba ya baba mkwe kwa mdogo wako..
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  au amwambie aende nyumbani kwao kusalimia baada ya mkwe wake kuondoka amrudishe..
   
 9. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  wazo zuri Mkuu, naunga mkono ushauri huu
   
 10. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  The old man was ill. Now he is getting better. Let your house girl take care of him. After all that is why patients get well faster when looked after by pretty nurses.

  Give him some room and he will leave in due time. Dont send him away. The least you can do is to call your mother in law to come and take care of hi.
   
 11. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwanza mtume mume wako akachukue kitu huko chumbani wakati ukijua babamkwe na huyo binti wako mzigoni. Apate ushahidi kamili....Alafu inaelekea na wewe hujatulia hebu jieshimu na ubadilishe avatar yako!
   
 12. K

  KIPAPATIO Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye ushahidi ndo issue, wao hawafahamu kama niliwaona, na it was embarassing kweli kumkuta that baba I respect naked!Ivi hata yeye akigundua kuwa I saw him ktk hali ile itakuwaje? Kuhusu kumwambia mume wangu pia ni ngumu sana jamani though ni muelewa sana. Thanks for ure advice.
   
 13. K

  KIPAPATIO Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo pia ninaliwaza sana, baba anaweza kunigeuzia kibao nikaona dunia chun. Kumuondoa binti naweza ila I have mtoto mdogo, 1 year na yeye ndo nikiwa job anamtunza mtoto, kumpata mwingine itachukua muda kidogo. Niko njiapanda jamani, ningeweza kumkanya mdogo wangu but hope mnajua mapenzi yalivyo, she can tell him na ikawa tatizo kubwa zaidi. I wish uyu baba aende tu kwake, loh!
   
 14. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Kwanza pole na lililotokea! vuta pumzi na usichukue uamuzi wa haraka, nimependa action ulliyoichukua hapo juu (kwenye bluu) inaonyesha wewe siyo mtu wa kupanic hovyo hovyo, nakusifu kwa hilo. Ushauri wangu ni huu:
  1. Ni vizuri Mumeo ajue, mshirikishe kwa taratibu na umuelezee kitendo ulichokiona pia unaelewa mumeo yukoje na njia gani utatumia kumuelewesha zaidi.
  2. Shauriana na Mumeo, kama baba mkwe wako keshapona mpelekeni kijijini, tafujta hata kisingizio mtasafiri hakutakuwa na wa kumtunza na si vizuri abakie peke yake (trust me naelewa mambo ya wazazi wanapokwendaga kutibiwa mjini, wengine huwa hawataki kusikia kijijini tena)
  3.Mkanye huyo msichana wa kazi kwa utaratibu.
  Nafkiri ukiangalia njia hizo pna nyingine ambazo wadau watakushauri utalimaliza tu, and know this usijaribu kumshtakia mkweo kwa mumeo jaribu tu kumuelewesha mumeo jambo lililotokea, pia inategemeana na ukaribu alionao mumeo na baba yake.
  Pole but know this, managing a home is more stressful than managing a company.
   
 15. K

  KIPAPATIO Member

  #15
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijiheshimu na sijatulia kivipi?Mbona mie hata hiyo avatar sijaiweka?Loh
   
 16. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  aisee kutunza mtoto mdogo ni kazi kweli, usichukue haraka kumuondoa huyo binti,
  Embu fikiria ushaujri wa aliyesema mlete mama mkwe aje then kama siku mbili tatu unawaandaa vizuri wanarudi kijijini lakini baada ya kushauriana na Mumeo siyo?. How do you see that?
   
 17. ram

  ram JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,194
  Likes Received: 898
  Trophy Points: 280
  Duh! Hii kali1

  Babu miaka 70 anajisevia kwa binti miaka 16? Hii ni laana

  Mwambie mumeo, kwasababu ni baba yake atajua jinsi ya kumuondoa hapo home, kuhusu binti kwakuwa ni nduguyo uamuzi uko mikononi mwako

   
 18. K

  KIPAPATIO Member

  #18
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  That looks fine ila kwanza I have to talk to my husband coz hajui hii kitu.
   
 19. m

  mussamhando Member

  #19
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ungepata hata akili ya kuwapiga picha japo na simu yako ya mkononi. Hapo lazima utafute njia yakumuondoa babamkwe au tena mlete mamamkwe japo utakuwa unaongeza familia. Wanaume noma miaka70! Mmh
   
 20. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Uko sahihi kabisa, amwondoe binti kimyakimya, lakin hataweza kumtaka yeye kweli???
   
Loading...