kweli supermaraket hawauzi sementi

Dagoma

New Member
Feb 29, 2012
3
0
nilichofanyiwa mimi sitasahau. niliingia humu jf sasa yapata miez 4 nikapata demu humu jf tumewasilia kwa muda akasema anaishi dar akaniomba nimtembelee nimeenda dar kumbe ana mume nusu wanibikiri naomba wadada muache hyo mambo
 
Pole sana. Tena mshukuru mungu wako uko salama. Hilo liwe fundisho na kwa wengine.

Hivi nani aliwaambia humu ni sehemu ya kutafuta mabibi au mabwana???? Kwa kukukudokeza tu, kuna majini pia humu. Take care
 
Title yako ndo nimeipenda tu 'supermarket hawauzi sement' na ni keli bwana. Pia kwa unacholalamika nimekifurahia sama na ni fundisho kwako na wenye tabia kama zako za kupenda kuparamia wanawake hata wasio wafahamu na wangekuabikiri ingekuwa njema zaidi kwani nadhani usingerudia tena ila kwakukuacha hivyo hivyo utajisahau mapema
 
Pole sana. Tena mshukuru mungu wako uko salama. Hilo liwe fundisho na kwa wengine.

Hivi nani aliwaambia humu ni sehemu ya kutafuta mabibi au mabwana???? Kwa kukukudokeza tu, kuna majini pia humu. Take care
wewe upo upande upi?
 
nilichofanyiwa mimi sitasahau. niliingia humu jf sasa yapata miez 4 nikapata demu humu jf tumewasilia kwa muda akasema anaishi dar akaniomba nimtembelee nimeenda dar kumbe ana mume nusu wanibikiri naomba wadada muache hyo mambo

Great thinkers wamejaa humu. Usipofikiria kwa viwango hivyo, lazima ile kwako. Nani aliyekwambia JF ni sehemu ya kutafutia mademu??? Unadhalilisha jukwaa, siyo?
 
Pole! Hilo ni fundisho kwako na kwa wengine wenye tabia kama hizo.

Pili dada hakutumia busara, alivyoona mwenzake amejipanga kwa safari angemuambia ukweli kwamba ameolewa nadhani mkaka asingehangaika kusafiri
 
Mnakumbuka uzi wa figanniga na safari ya Zanzibar? Yale yaleeeeeee
 
Da, kwani kupata mademu mitaani kwetu shida? Mpaka wa JF? Lakini pengine mawasiliano siyo mazuri kwani ungeuliza kabla ya kuparamia mlima.
 
Pole sana. Tena mshukuru mungu wako uko salama. Hilo liwe fundisho na kwa wengine.

Hivi nani aliwaambia humu ni sehemu ya kutafuta mabibi au mabwana???? Kwa kukukudokeza tu, kuna majini pia humu. Take care
Labda alipitia LOVE CONNECT!. Kama madai haya yana ukwel basi tuwaombe Admn walifunge hilo jukwaa
 
nilichofanyiwa mimi sitasahau. niliingia humu jf sasa yapata miez 4 nikapata demu humu jf tumewasilia kwa muda akasema anaishi dar akaniomba nimtembelee nimeenda dar kumbe ana mume nusu wanibikiri naomba wadada muache hyo mambo
Mbona hijaeleweka hapo kwenye red? Ina maana na wanaume wanabikiriwa? Anyway kuwa muangalifu, sio kazi ndogo kupata soulmate kwenye Social Network, unless umezichanga karata zako vizuri
 
Ulivutiwa na avatar eeh....sura nzuri,mwonekano wa kibinti....plus innocent face.....Ukajua ndiye haswaa...Pole angalau umebaki na bikra yako...Kwani una mpango wa kuendelea nayo..au muda haujafika - am kidin'
 
Sikuwahi kuwaza kutongoza demu hapa Jamvini....tatizo liko hapa, kutokana na hidden IDs unaweza kujikuta unatongoza mwanaume mwenzio! unamtamanije mtu ambaye hukuwahi kumwona hata kwenye picha?
 
nilichofanyiwa mimi sitasahau. niliingia humu jf sasa yapata miez 4 nikapata demu humu jf tumewasilia kwa muda akasema anaishi dar akaniomba nimtembelee nimeenda dar kumbe ana mume nusu wanibikiri naomba wadada muache hyo mambo

Siyo rahisi kiivyo. Yaani uwasiliane na huyo mke wa mtu mda wote na mumewe anafurahia halafu wakuwekee mtego??! Bado hujawa mtunzi mzuri.
 
Jamani mnamlaumu bure mkuu.. kutongoza face to face nayo shughuli eti. Kwa hiyo maadamu hanioni naomba vituzi akinitolea nje hanijui simjui hakuna noma wala nini.. Haya maisha haya taabu kwelikweli.

Pole sana Kiongozi siku nyingine uwe na inteligensia yako kabla ya kufanya maamuzi ya safari. Pia wengine wanaweza kuwa akina Cameroon wanaojiita Sweet naniliuuuuuu!!
 
Back
Top Bottom