Unaibiwa?? chukua dawa

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Kama hauna imani na mwenzi wako,..
hauamini kama kila simu anayo pokea sio ya vimada au vidumu,...

unaweza kuondoa hofu hiyo,kwa kumfuatilia kisiri siri katika mawasiliano
yake yote!
Akipigiwa simu,na wewe utasikia maneno yote (kwenye simu yako)!
Kila sms atakayo pokea utaipata pia (kwenye simu yako)!

Nitafute,nipe namba yako ya simu,nikupe ujanja huo!

Note:
1.Rafiki yangu ali m-track girlfriend wake,msichana alipo gundua anafutiliwa katika mawasiliano waliachana!
2.kuna msichana alim-track boyfriend wake,alipo pata alichotaka alifeli mitihini yake kwa mawazo!

Warning:
Nita kusaidia ila "AT YOUR OWN RISK",...:israel:

walio mbali ya TZ inawezekana?

Yeah sure,...
unatakiwa uwe na simu yenye GPS chip,...
e.g
Blackberry,motorola iDEN,Boost Mobile,Windows mobile,....
zote zenye sifa ya kuwa na GPS you can mention,...
hii ni software so,popote pale ulipo unapata

Poa nitaku PM

Bana hiyo kitu co unaweza kufa kwa presha coz bongo ni uchakachuagi kwa kwenda mbelee

wee speaker wee.....utatufanya wenzio tufe mwili na roho.......mi usinifundishe kabisaaa....maisha bado matamu........tatizo sasa na huyo mwenzangu akisoma hii thread

hahaha,anaweza kuku kwepa akijua,...ila ata kukwepa kama ni mtaalam pia otherwise mtakua mna tafutana tu!
unajua mwisho wake?
kama ana cheat,ukimgungua uta waambia mashoga zako,
nae atapata sms zako au call zako,...
mwisho wa siku mtaachana bure,...
ndo maana nikasema kuna risk kubwa sana
so far nime shuhudia mbili,...

Mimi niliwahi ku google kama kuna uwezekano wa kukamata cheater. Nikapata kampuni moja US ila wakanambia hawawezi toa service Tz. Yaani wana mitambo nadhani inatrace movements za mtu. Hiyo ingekuja bongo mboni raha.

yeah ni kweli,...
ila ukiwasiliana nao vizuri,kuna source code za hiyo software wata kuuzia na
wewe uta zi-develop na utazitumia popote ulipo!
Its just business,...
kuna negotiations ukifanya nao utafikia conclusion!

Hapa bongo hata ukianzisha kampuni manual, siyo digital ya kufuatilia mienendo ya watu kwa kweli utakuwa tajiri. Utapata wateja wengi sana hasa wanawake! Yaani nakupa ela wewe kazi yako kufuatilia baba nanii anaendaga wapi akitoka kazini au week end. Alafu unanipa mchoro mzima naenda kufumania. Aaah Wajasiria mali mpo!

kweli kabisa,hii ilikua kwa ajili ya majaribio!
me nilianza kutest kwa rafiki yangu mmoja hivi,...duh ni balaa

then nikawapa watu kama watatu wajaribu pia,wawili walinilaumu tena kwa kuwapa
maana waliumia kila mmoja kwa namna yake!
mmoja yeye hajawahi mnasa girlfriend wake (hajawa na kidumu bado)

Hii ni biashara mkuu,sema kitabu tu ndo kinabana otherwise ninge fungua office!
Hehe,ila ni hatari pia kwa wale watakao achika,unaweza uliwa

Code:
Note:
1.Rafiki yangu ali m-track girlfriend wake,msichana alipo gundua anafutiliwa katika mawasiliano waliachana!
2.kuna msichana alim-track boyfriend wake,alipo pata alichotaka alifeli mitihini yake kwa mawazo!

Warning:
Nita kusaidia ila "AT YOUR OWN RISK",...:israel:

Ikifkia huko ni bora ukachanja kiguu kwa njia..................................if he or she is not into you then why look for other confirmatory tests..............................just move on and it is going be a blessing in disguise..................

I think its better if you confirm what you are suspecting before making any decision to quit

Thanks for useful info.

Back
Top Bottom