FOR LADIES' EYES ONLY: Wakati mwafaka wa kuomba msamaha...........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,468
911,174
Ladies wengi hawajui ni wakati gani wa kuwaomba misahamaha wapenzi wao.....kwa hiyo huishia kuwavamia........... at the wrong time, the wrong place and when their partners are in the wrong mood..............matokeo yake hawapati matokeo wanayoyatarajia......rejection is simply an understatement..................wakati mwafaka wa kuomba msamaha ni wakati mwaumme ni dhaifu....................mwanaumme ni dhaifu kabla tu ya kukumiminia "mshindo nyuma" au kwa lugha ya wageni..............."just before ejaculation"...................hapo ndipo yupo tayari kusema......................"yote yamekwisha......tugange yajayo"..................akipata nguvu kwa maana ya kisima kujaa maji ya uzima tena atakumbuka kuwa ulimtegea lakini hana cha kufanya kwa sababu kauli tayari kesha kuitoa....................umharakishe kabla tu ya "kukumiminia" na wala usije ukachelea kumweka kabali wakati mwafaka tajwa..........................kumbuka wakati wowote ni wakati wa chai.............kunywa chai yako lakini hakikisha..................you get something tangible in return....................like getting him to say "I do forgive you and forget the whole episode once and for all!"............The good news ni kuwa.......that act of forgiveness comes from the innermost parts of his deepest feelings of his heart...........he will never be able to retract...you stay forgiven forever.............uwe na amani kwenye moyo wako............kabisa kabisa.....

Wikiendi njema to............all............
REMEMBER SAYING SORRY IS NOT A WEAKNESS IT IS A VIRTUE AND A GIFT FROM GOD.......
 
Asante bwana Ruta.

usimwachie mtie kabali tu...................hiyo ndiyo lugha tunayoielewa.......................ukichelea mwana kulia utalia wewe........
 
Naogopa kuwa kama yule mchungaji *** aliyepamba kurasa za magazeti ya udaku kwa kufanya ufuska! Me simo

huyu ninaamini ni tofauti................ni mtu wa maadili
 
Is this common?Ngoja wafunguke na wakipata majibu waje pia!

dawa ni kujaribu khalafu uje utupasulie ukweli humu jamvini...............bila ya kuchelea......
 
Ooh now i know, Asante Ruta..

Amyner.................siri ni kutumia ujuzi ulionao au utaupoteza....................use it or lose it................it is that simple.......in all spheres of life.......
 
We lady umeshukuru nini?

Ameelimika.......................kilchobakia ni kumtia kabali jamaa yake aache zengwe kama lipo............au laja.........
 
Ruta! Una uhakika ni kabla au baada?

It works different for others!

kabal siyo dhaifu kwa sababu ......at that time yoy have a point you want to prove......................and that point is an expression of your manhood.........................kwa hiyo hauko kwenye khali ya kusiliza lolote lile..................but just before an ejaculation...........................kwa maana ya "mshindo nyuma"......................basi hapo chochote utakachoambiwa utakubaliana nacho............................ni wakati ambapo unakuwa mdhaifu sana..........hata fahamu haziko mahali yake ya kisaawia..........
 
Haaaa haaaa Mkuu, wewe hapana jua Wanaume kumbe!

Watu wakifunga goli hawataki ajenda nyingine maana gemu imeisha. Unless kama ni wife na bado mtu anataka kulala tu hataki kingine.

Wadada makini wako strategically kabla wakati huna choice zaidi ya kuwa mpole upewe. Huutumia muda huo wakati anakuandaa kuweka maombi yake yoote huku anakupeti peti bila kukwamisha raha zako. Na wewe kwa kuwa una shida na gemu na hutaki porojo ziendelee jibu lako linakuwa ndiyo kwa kila ombi.

Wadada jaribuni hii.

Baada ya shughuli, wengi wanataka kulala tu . . . haaaaa haaaaa

Sio mimi lakini jamani. And, dont try me!
 
Sio mimi lakini jamani. And, dont try me
!

kuna marekebisho nimeyafanya kidogo kwenye simulizi ya mada......vinginevyo hoja zako ziko sahihi kabisa.......after sex a man wants His beloved sleep...........swala hapa siyo kutongozana...........hiyo hatua tayari mlikwishakuipita...............sasa ni namna gani kudumisha mahusiano......................ninaafiki kabisa wakati unatongoza ni nafasi ya binti kujenga hoja zake.................kwa maana ya trade offs.....give and take kind of haggling........na wengi hufanya hivyo ingawaje hatari ni kuwa aweza kumtisha njemba na orodha ndefu ya mahitaji na kumfukuza..............hujasikia binti akiloloma ya kuwa baada ya njemba ........"kumkabidhi orodha ya mahitaji yangu akayoyoma hadi kesho haonekani..............kaingia mitini...........lol"
 
You got me bro!

Binti wakati anachezea kifua ndo wakati hasa wa kutoa maombi yake huku akikupa maneno matamu!

Hizo ni mbinu za medani.
 
Back
Top Bottom