Wanaume mna tatizo gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume mna tatizo gani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kabakabana, Mar 2, 2012.

 1. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nilikutana na huyu kaka mwaka 2007 kwenye harusi ya dada wa rafiki yangu.Huyu rafiki yangu ni kipenzi sana na amekuwa kama ndugu yangu,.
  Hiyo harusi nakumbuka ukumbi ulikuwa ni pale msasani. Tulipotoka huyu mkaka nampa jina la Y akasema twende tukapate vinywaji sehemu nyingine na kweli tukatoka mimi,huyo rafiki yangu na yeye.,.
  Aliniomba namba ya simu nikampa.
  Kipindi hicho nilikuwa naishi upanga,akawa ananifatilia sana lakini sikumpenda kwa kweli kwa hiyo sikumkubali.
  Alinifatilia mpaka mwaka jana na nilikutana nae mara kadhaa,tunapiga story na kupata drinks then ananirudisha home.
  Sasa mwaka huu mwezi wa kwanza kuna rafiki yangu alikuwa anaolewa ikabidi nije dar kwenye harusi.Laa haula bwana harusi ni mr.Y!
  Nilishukuru Mungu kuwa sikulala nae na wakati wa kwenda kutoa pongezi,nilipompa mkono akanitekenya nilishtuka kwa kweli nikamchek my friend akawa yuko tu busy kuwahug wageni waalikwa.Wakati wa dancing akanifata kudance na mimi akaniambia bado ananipenda halafu akanikonyeza!nilimshangaa sana.Na mpaka sasa najiuliza maswali mengi hivi wanaume wana matatizo gani?
  Kwenye siku ya ndoa yako unamwambia mtu mwingine unampenda je ni sahihi?
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Yes tupo sahihi,tena sana!!
  Cha msingi kama kweli anakupenda,na wewe upo free,na kama bahati nzuri ww ni islamic,then mwambie apeleke posa ili akumiliki kihalali,kama hataki then achana nae bcoz lengo lake ni kukuchezea na kukutosa,mbona waowaji wapo wengi tuu dadaaa?
   
 3. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wee nae kama ulikuwa humpendi mbona uloendelea kuenda kunywa nae?? wewe na huyo wote hamja tulia.....
  kuomba wala sio tatizo...mwanaume ana haki yakuomba utamu any time
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Dah my sister ujue mapenzi ni kitu hatari huyu inaonekana moyo wake ulikudondokea ila ukawa mgumu. Ungekubali tukala maali yake au ni jibaba?
   
 5. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  kwani kukupenda kuna tatizo gani? unataka akuchukie?
   
 6. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  ila sema ukweli roho ilikundunda nusu ikutoke eti?
  unajishaua eti ulikuwa hujalala ne etc mmmh unawish ni wewe ungeolewa nae au?

  usiwe na wasi utapata wako.
  imagine kama ungekutana nae a day b4 na labda angekushawish umpe vitu, ungeliaje harusini?

  mie nahisi ingekuwa sio harusi yake umemuona na ameoa bado angekupata tu kwa raha zote kwa kukudanganya bado single.
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ni sahihi mama
   
 8. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  niliƶnana nae kwa drinks mara kadhaa kama mara 3 au 4 baada ya siku ile.,kupata a drink na mtu ina maanisha hujatulia?ahsante kwa kunifahamisha.
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahah,ckua najua kuwa hyo ni HAKI YANGU!
  NI Ya kikatiba?au
   
 10. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Duuu yani nampa pole sana mke wake, au yeye anapenda kama kina fazaa kwa kutazama tu hafanyi mabaya.


  Lakini aisay angemheshimu mke wake kidogo, yani hapo anamdhalilisha sana.

  Kweli sisi wanaume sometimes, tunakosa akili hata yakufikiria.
   
 11. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  acha usanii we mpaka unafunga safari kutoka huko mbande(joke) mpaka mjini kuja kwenye harusi bila hata kujua muhusika ni nani?ulikuwa unataka kuprove kama jamaa anaoa kweli ndo ukakutana na hiyo suprize,dont worry na we utaolewa tu
   
 12. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mwanamke lazima atongizwe bana sasa mwanamke gani hutongozwi??
  alafu unajua unapotoka nae u r giving him hope wer the is none
  kama humpendi mwanaume mwambie sikutaki basi hamna chat contact wala ujinga wakuenda kunywa nae. wee unaona ni drinks mwenzio anaona anafanya progress hapo
   
 13. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,178
  Likes Received: 1,182
  Trophy Points: 280
  Wanaume hatuna matatizo yoyote
   
 14. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanaume hawaridhik kwa wanachokipata hata umalize ujuzi wote na kumpa vitu vyote bado atatoka
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Usijali utaendelea kushangaa mpaka siku ya mwisho wa dunia,ila wanaume wote hatupo hivyo!
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  tamaa...
  Na kukosa heshima kwa mkewe....
   
 17. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Vipi hatuna matatizo, na tunatongoza wanawake wengine na wake zetu wako pale pale, tena siku ya harusi...afu unasema hatuna matatizo!!
   
 18. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kabisa kabisa.
   
 19. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  kabakabana story yako mzuri bt inabidi mtu uisome btwn line.lini ulienda chuga ujasema since 07 till 2011 ulikuwa bado unawasiliana na usiyempenda hadi umesafir all the way from chuga.kwa mtazamo wangu alivyofanya mr y naona ni correct kwa sababu alikuona upo kama LOOSE BALL(asiye na mwelekeo) ndani ya 18 zake.m sure ukiendelea wasiliana nae 1day atakumega
   
 20. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hoja yangu siyo kutaka ndoa,kwa kuwa nitaolewa tu,na sio na yeye coz simpendi kimapenzi.
   
Loading...