Urgent..............please !!!!!!!

Ferds

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
1,263
191
habari zenu wapwazi, cjakanyaga jukwaa hili kwa takribani mwaka na miezi kadhaa japo kila cku natembelea jamii forums kuliko akaunti yangu ya facebook na twetter, nimekuja na jambo moja jamani nawatafuta watu muhimu sana ktk JF, ambao ni miongoni mwa magreat thinkers, sizioni mada wala comments kutoka kwa hawa watu, wako wapi, kwa ajuae anijuze please!

1-anaitwa ASPRIN au BABU, yuko wapi kwa ajuae alipo jamani taarifa, bila utaratibu itolewe, au kama babu umebadilisha jina tujuzane, tunakuhitaji, maana wajukuu cku hizi wamekuwa wengi na adabu hazina brake hata kigo

2-Mwingine anaitwa PAKA MWEUSI cjui ndio huyuhuyu aliekuwa anajiita PAKAJIMY

3-Mama Big, huyu aliondoka kwa gia ya kwenda kujifungua hajarudi tena.

4- Rev Masamilo, mzee wa busara

5- Maralia Sugu, huyu jamaa nadhani anaongoza kwa ban, na kubadili majina huenda yupo ila atakuwa kashika adabu kidogo, maana cjayaona makeke yake long time kitambo.


Jamani mcdhani kuwa wengine cwapendi, la hasha nawapenda wote humu JF kasoro Invisible coz amenipa access ktk jukwaa hatari na angamizi la mambo ya kikubwa, halafu anaruka eti @ur own risk, da jamaa muuji wa kimyakimya, ila ucnipe bani mkuu respect sanaaaaaaaaaa.

au mmejichimbia ktk jukwaa lenu la 'mapremiere'

with thanks
ferds
 
Babu Aspirin ameenda na bibi kijijini kupalilia kashamba kake, na kule hakuna netiwek wala Tanesko.
Soon atarudi palizi ikiisha..!
 
malaria sugu ashapona malaria yake ameondoka......

Aspirin /babu toka apate bibi mpya huko kimanzichana anawaka kama kijana wa miaka 18, hivyo amebadili jina anajiita Panadol

pakamweusi alimwagiwa mafuta hivyo ana madoadoa siku hizi, sijajua anajiitaje kwikwikwikwikwi


rev masanilo yupo busy kutafuta waumini wapya.....

Anyway karibu sana,
 
Mh na haya mambo ya kutuliza ghasia kwa lisasi za moto!
Hebu peleleza zaidi juzi juzi ilikuwa Songea
 
sasa mkuu...!

wewe ulikuwa unatumia aidii gani kabla ya hii...?

manake naona unawasalimia "wapwaaaaaaz"

i am also "mpwaaaaaaaaazzzz for them wapwaaaaaaaaz"
 
hahahah!....

ahsanteni sana mods...!

ngabu mambo vipi jomb'aaaaaaaa??

diana anaolewa huku arif
 
hahahah!....

utapiga ngumi mtu kwa "kype"...?

au kwa "bluuutus"...?

asee tutafutane basi mkubwa wa kazi....

dar lini?
 
sasa mkuu...!

wewe ulikuwa unatumia aidii gani kabla ya hii...?

manake naona unawasalimia "wapwaaaaaaz"

i am also "mpwaaaaaaaaazzzz for them wapwaaaaaaaaz"

nisameheme , nimesahau, ngoja niongezee, Teamo, MwanajamiiOne,Maria Roza(huyu hapa c mahala pake)Tinmo, First Lady Rose 1980................jamani ongeza mama, ila suala la ID .........ckumbuki nilikuwa natumia ipi, maana nakumbuka ni hihii tangu zama damu za Jambo...........unazikumbuka hizo zama
 
Lazima nipige mtu ngumi ariifu!

Don't get me started....pls!!!!!!!, hv wewe utaacha lini hii mambo, vp kale kaorganization ka infidels bado kapo hai au kamekufa, au wewe c mwanachama................hahahahahaahahaahah, najaribu kuwarudisha wenyewe humu, let me see kama mtakuja.................pulidha,pulidha, pulidha...........
 
Back
Top Bottom