Hivi Nifanye Nini Ili Uelewe Nakupenda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Nifanye Nini Ili Uelewe Nakupenda

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jux, Oct 28, 2011.

 1. Jux

  Jux Senior Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu kila njia kueleza hisia zangu kwa member wa hapa JF lakini naona mwenzangu ni kama vile haoni jitihada zangu sijui nifanye nini zaidi ya hapa, inauma sana unapompenda mtu lakini yeye mawazo yake hayapo kwake
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  What i like ni KUPENDWA,lakini KUPENDA ni KIBARUA kigumu!
   
 3. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  asije akawa ni TF,utamnasa kweli TF? sijui,jaribu lakini maana kila mtu na bahati yake.
   
 4. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  try next one... tuko wengi banaa... mh?
   
 5. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Kwa uzoefu wangu hapa wewe ni mwanamke,kama nimekosea samahani,kwa kukusaidia kaa na ufikiri huenda njia unayotumia sio sahihi!
   
 6. v

  valid statement JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  toa tangazo redioni na kwenye TV na magazetini kuwa unampenda, ila hataki kuelewa.
  Labda ndo atakubali.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Mi nilihisi ni ww,manake harakati za kututea zinawafurahisha wamama na wadada wa humu hadi FF!
   
 8. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Nani mwingine??? Ni huyo huyo swahiba wako TF!! Mwambie aache kuchezea bahati, atajuta ooohooo!!
   
 9. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  mmmhh........ndugu yangu, hata ukipendwa usipopenda napo ni kibarua tuu.
   
 10. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pole mrembo,inawezekana mwenzio ameshawahi na kukueleza kua anaemwengine anakuonea huruma kaona bora akupotezee,au huna vigezo anavyotaka,au anakuona ww matawi sana hawezi kukumiliki au mzuri sana anaogopa usije ukampa BP,au anatingisha kibiriti ,au hajui hujamwambia wazi una muonyesha ishara tu.. mueleze kilicho moyoni mwako sio mwanamme peke yake ndio awe wakwanza kukutongoza kama unampenda kweli mueleze...
   
 11. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Umependa asiyependeka!
   
 12. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #12
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Niambieni ni wapi nitapata mganga anayesafisha nyota, maana nahisi nina gundu... yaani sijawahi hata kutaniwa na mdada humu JF kuwa ananipenda!!! si hivi hivi, kuna kitu...
   
 13. Jux

  Jux Senior Member

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Njia ipi ambayo nimekosea jamani
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  hebu tueleze ni nani tukusaidie kumueleza.........
   
 15. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hhehehehe bila shaka hapa nazungumziwa mimi.
  maselebriti tuna bahati aisee!
   
 16. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  wakukutania wapo ila utani wao mbaya huwezi lol.
   
 17. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #17
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Sitaki utani mbaya, nataka anitanie tu kuwa ananipenda, na mimi nioshe jina...
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hivi mtu kukuelewa ni lazima akukubali???
  Hawezi kua amekuelewa na bado akakukatalia kwasababu zake binafsi???

  Ukiambiwa HAPANA jua ni hapana....usimng'ang'anie mshkaji kama ruba.Kwa maana nyingine move on maana mwisho utakua unamsababishia usumbufu tu!!!!
   
 19. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Dah! kaingia anga zako nini?
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Khaaaa!!Kwani anakuongelea wewe???
   
Loading...