Nyumba ndogo ni karaha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ndogo ni karaha

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BLUE BALAA, Mar 6, 2012.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 900
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kweli zinachosha na tabia zao za mizinga.
  Halafu uankuta mna ka beef lakini lenyewe haliachi kutuma message za kupiga mizinga.
  Utasikia jamani baby nina shida sijui ya nini, pumbavu nyie mkoma mtafute wa kuwaoa.
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,596
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Na wewe ukome uache kuwatafuta.
  Unataka ule tu usiliwe?!!
   
 3. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  yamekukuta nini
   
 4. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,398
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  we si ndie uliomtafuta huyo nyumba ndogo? Kama anakukera unashindwa nini kumuacha?
   
 5. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ukome mwenyeweeee......!!! Na bado, ulitakiwa upigishwe kwata mpaka uombe pooo!!!!
   
 6. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  halafu wewe cute leo tu umeanza kiburi?
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Wadau wesha note kua ni topic yenye wadau baasi inakua lolote lile lasemwa ilimradi tu ihusiane na Nyumba Ndogo... na threads chache ambazo zinakua za Msingi anymore on the Topic... it is becoming so tiresome.... Sorry if by any way am out of line ila ndo ukweli wenyewe....
   
 8. k

  kisukari JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,562
  Likes Received: 798
  Trophy Points: 280
  sio wote wako hivyo.umeliwa unalalamika nini?kama huyawezi kaa pembeni
   
 9. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  no you are nat,you have spoken my mind. Am so tired of the 'nyumba ndogo' threads.
   
 10. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 900
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nahisi wewe ni nyumba ndogo ya mtu ndo mana unakuwa na hasira unajua na wewe ni moja ya karaha huko kwa mume wa mtu. Thread za nyumba ndogo zinaandikwa sana kwasababu hili ni janga na linasababisha matatizo mengi kama magonjwa ya ukimwi, kurudisha maendeleo nyuma, kusababisha watoto yatima na kukosesha amani. JF kama social media must play its part in stopping it. Wewe ulitaka members wa JF waitishe mkutano wa hadhara ku campaign. JF inasomwa na mwatu wengi sana hivyo ujumbe ni rahisi kufika. KEEP DISTANCE PLEASE
   
 11. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 900
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kabakabana wasiliana na AshaDii nimeshampa majibu. Ila nahisi na wewe ndo walewale.
   
 12. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,710
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  kwani ulilazimishwa kuwa na nyumba ndogo?? ulipenda mwenyewe kahiyo kubali yote " mla vya wenzie nae huliwa kaka..... unalo hilo limekuganda ...."
   
 13. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nyumba ndogo mnatafuta wenyewe mkishindwa mnalalamika kama vile mtu kalazimishwa ...
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160

  hahahaha..... Umenifurahisha.... Indeed Nimecheka... Na bado ni asubuhi, Kwa hili kama ungekua karibu ningekukaribisha chai ya Tangawizi na Iriki ama ya Maziwa according to your choice.....

  Acha assumptions Shetani.... Mimi ni moja ya wadau ambao wamesimamia na kudiscuss hii topic vilivo... Ni haki yangu kua fade up. Nyumba ndogo whether we like it or not, IPO. You can not handle it... Then hapo in Purple... I throw your advice at your face dear for you need it more.... For FYI Sifanyi vitu I can not handle na wala sibahatishi... Nikiwa nyumba ndogo I would be a Kungu of nyumba ndogo.... Enways untaka majibu ya Nyumba Ndogo ins and outs?? Great inputs... Great Discussions...

  Courtesy ya The Boss..... LINK

  Courtesy ya Roulette..... LINK

  Kuhusu watu kua huru kudiscuss hapa at JF.... Of couse you are right.... ila kumbuka kua tunaojadili na kudiscuss ni wale wale kila siku, Kama ulivoona response ya my fellow members i.e Kabana, na Likes za Tausi Mzalendo... Ni wazi we feel the same way, the only difference ni kua Nimekuambia outrite.

  BTW Mimi ni muislam... ni mke Mkubwa.... na hata kama incase ingekua yupo mke mkubwa ningejulikana kama mke wa pili for ni halali na si haramu kama ilivo kwa wenzetu Wakristo katika upande wa dini....

  Kua na siku njema....
   
 15. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,616
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huhuhuhuhu! Mkuu umechoka kuwa KIDUMU? Pole sana!
   
 16. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Epuka nyumba ndogo, Kaa na mkeo na kama bado hujaoa subiri mpaka ukioa
   
 17. M

  Makunga JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 771
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 80
  sasa unalalamika ili iweje,nani alikutuma kutafuta nyumba ndogo.kama umeshindwa kaa kimya,kuna wenzio wanazipenda na wanazifurahia.
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  Triple LiKe

  That's my girl!

   
 19. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,198
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Yaani bora mtu aandike tu.........sasa AD we si ndo uko huko "tume ya uchaguzi" (MOD) hebu fanyeni mambo ya kuweka vinasaba tuondokane na hii kadhia
   
 20. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,198
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Naona umeamua kumkafini kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
Loading...