Mimi ni msichana mwenye umr wa miaka 23 nimehtimu chuo mwaka huu,nimeona nheshma kwangu iwapo ntakua nimetulia ktk ndoa yangu kuliko kuhangaika na maisha yasasa..Nahtaj mwanaume muislam,mpenda...
Ngoja leo niyadadavue makosa yanayofanywa na wanawake wengi pale wanapoamua ni nani wa kuoana naye:
1. Kosa la kwanza, unaolewa na mtu ambaye unajua kabisa ni dhaifu na mkorofi, ukitarajia kwamba...
Jamani nimeona nishee nanyi mawasiliano yangu ya skype na rafiki yangu from Lusaka!
Kifupi, mwanaume alimnyanyasa sana huyo dada hadi akaondoka na kupanga sehemu nyingine, sasa anafanya masters...
Unahisi mume ama mkeo mambo anayofanya ni sababu ya ukoo uliooa....
Je ukujua wakati unaoa yuko ukoo gani..embu tuanze kufanya mapping jamani
tusianze kulalamikia hiz koo zetu..huwa napenda...
Asaalam aleykum wanajamv ....mimi na mke wangu 2napenda sana hii nikutokana na mfumo w maisha 2liopendekeza 2ishi.na 2meamua kuishi ktk mfumo huo kutokana na dunia y sasa iliyogubikwa na magonjwa...
Habari za pilika waungwana? Naombeni busara zenu wajameni! Mpenzi amenitia jeraha la moyo? Mi nilikuwa na demu, tulipendana sana na ukweli nilimuamini sana na nikawa namtimizia kila kilichokuwa...
Its this my machine operator, anaishi na mwanamke mitaa ya mabibo na wana motto mmoja. (hawajafunga ndoa) jamaa kajitahidi kapata kiwanja CHANIKA. Na kajenga kibanda chake sasa anataka kuhamia ili...
Friends i have found a great site for swahili.........place to chat,dating,,,etc
first 100 people from now up to april 24 will get 2yrs Gold membership
please hurry up to sign up...
Aaaaarrggrh!Nimekerwa sana alfajiri ya leo baada ya kumuona jamaa mmoja nikiwa nafanya mazoezi akikatoa kabinti kadogo sana kukasindikiza kwao,inaonekana alilala nako.Hivi wanaume sisi hivi...
Live Court – judgment of Louise Woodward:
The Closing Argument that convicted Louise Woodward
Eye To Eye: Barry Scheck (CBS News)
Ndio kwanza alikuwa amemaliza masomo yake ya...
Mimi Hassan Said nasikitika kuwa ule ujumbe nilioutoa tarehe 20 mwezi 3 mwaka 2012 kuhusiana na kutafuta mke kupitia jf , nasitisha rasmi zoezi hilo leo tarehe 30 mwezi 3 mwaka 2012 kutokana na...
Helow Helow MMU, kuna shost angu ana boyfriend wake na wamedumu kwa muda wa miaka miwili sasa ila shida ya huyo bf hamjali in all aspect, shost keshavumilia mpaka maji yamefika shingoni...
Ndio, inaweza kutokea wanandoa mkajikuta mna wakati mgumu kifedha. Kama mnavyojua kwamba hali ya uchumi imebadilika na maisha yamekuwa magumu sana, inaweza ikawa imesababishwa na kuyumba kwa...
Inaendelea toka part 7
"Sikuachi ng'oo, hata ufanye nini" Meseji ilisomeka hivyo. Sikumbuki nini kilinipata baada ya kuisoma. Tulikutana kazini tena, lakini hali yangu ni wazi ilidhoofu. Rafiki...
kuna njia ni nzuri na njema watu wengi wanaiendea
hata mimi nilitamani na nilijitahidi kuiendea njia iyo
lakini naona imeshindikana na imekuwa mzigo na mateso kwangu
kuna njia nimeamua kuiendea...
32yrs ndo umuri wangu.
Kimaumbile kiungo changu cha kiume ni kidogo kiasi kile kikiwa ktk hali ya kawaida ni kama 2" hivi na katika ile hali ya kutumika ni kama 3.5" hivi
nimshukuru mungu...
Usipime, mpaka nikaamua kumuoa, nilijua chakula hiki hakitaisha hamu ni maarufu na ndicho ninachokipenda na nilidhamiria kuhakikisha sitakichoka. Nitakiweka kwenye fridge na kukipasha kila...