Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,906
- 22,050
Unahisi mume ama mkeo mambo anayofanya ni sababu ya ukoo uliooa....
Je ukujua wakati unaoa yuko ukoo gani..embu tuanze kufanya mapping jamani
tusianze kulalamikia hiz koo zetu..huwa napenda ninaposikia mtu anasema
yaani najuta kuolewa na ukoo ule..najuta kuzaa na ukoo ule kwani ulikuwa unazaa na dada yako mzazi??
Usiende tu kwenye harusi za watu ukafurahia zile soda na bia za bure nenda kwenye ndoa kwa malengo usifurahie mwenzio ameoa ama akuolewa furahia je na wewe utaoa mtu sahihi ama autakuja kujuta
binafsi niko na wewe unaeendelea kusubiri hakkikisha ume google sehemu muafaka tuachane na kutoa laana kwa hizi koo zetu jamani ...
Nawatakia wanandoa wa leo ndoa njema na za mafanikio nawatakia kila mgen asikose chakula kama nilivyokosa jumamosi iliopita pale ukumbi wa twiga mbezi beach nikiwa ndnan ya full ac nikaambulia ndizi mbivu za kukaanga like if niko breakpoint ..aijalishi unaoa wapi swala ni makubaliano msikimbilie kwenye kumbi za garama na kushindwa kulisha watu kama wanavyotarajiwa
all the best kwenye new ngo...usiogope hiyo ni taasisi baada ya miezi 6 tutakusajili kwenye chama cha wanaolala kama walivyozaliwa baadaa ya kuamini umeweza ndani ya miezi sita bila kutengana/KUPEANA MIGONGO