Natafuta mchumba/mume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba/mume

Discussion in 'Love Connect' started by Hasab, Dec 20, 2011.

 1. H

  Hasab Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni msichana mwenye umr wa miaka 23 nimehtimu chuo mwaka huu,nimeona nheshma kwangu iwapo ntakua nimetulia ktk ndoa yangu kuliko kuhangaika na maisha yasasa..Nahtaj mwanaume muislam,mpenda maendeleo,msikivu na mwenye upeo wa maisha,aliye tayar kurekebshwa pale akoseapo na aliyetayar nkosoa pale nkoseapo,,umri kuanzia miaka 24 yan asiwe mdogo kwangu...asiwe mlevi,...yeyote mwenye mapenz ya dhati ani PM...nipo serious sana.Asanten.Email yangu ni luvmy19@gmail.com plz use my email mana PM zangu nashndwa kujb naambiwa mpaka niwe nimepost mara tano.samahann kwa usumbuf
   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Dah sifa zooooote ninazo ila hapo kwenye dini tu, je nikibadili na kuwa muislamu nitapokelewa? Na umri umeweka kuanzia 24 je kuishia ngapi?
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  nitumie picha yako kwanza na private email yako. Nitarudi baadae kidogo
   
 4. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  inshallah utapata
   
 5. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Tafuta MFINYANZI ujitengenezee unayemtaka alaf umjaze hivyo vigezo vyako.
   
 6. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #6
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Heeheeehee acha kumkatisha tamaa binti tena bado bikra kabisa, wacha nimsake nijizindulie
   
 7. H

  Hasab Member

  #7
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umri awe wastan mana unaweza kua na 40 na bado ukawa kjana,..
   
 8. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Bikira utaikuta ila O-TIGO wameshamaliza. Nitarudi baadae kidogo
   
 9. m

  mr never New Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nipo nitafute kwenye facebook id natafuta mpenzi ipo picha yangu black&whte.
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo sisi tusio na dini tukawowe wapi?
   
 11. r

  rebeca Senior Member

  #11
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  muwowe msio na dini wenzenu.......
   
 12. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Wewe ni dini gani?
  Unapenda maendeleo?
  Wewe ni msikivu na mwenye upeo wa maisha?
  Una umri gani?
  Wewe unalewa?

  Ungeyaeleza hapa kama ulivyoeleza hapo kwenye red.
   
 13. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Umeambiwa kama una-interest nenda email, atakwambia yote hayo!
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Fine, mtakula jeuri yenu na midini yenu.
   
 15. s

  shosti JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  fb nimeona kamati ya nusra utawapa waislam wenzako wanaotafuta wenza
   
 16. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Kila la kheri mdogo wangu. Mungu na akusaidie upate Mume na si bora mume.
   
 17. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa namsadia tuu. Mie nasubiria tangazo lako tuu. nakwambia wala situmi PM. Nakuja huko huko Ushongo Mabaoni. LOL.
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Kwani mpolee alidrop interest?

   
 19. r

  rebeca Senior Member

  #19
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na nyie mtakula jeuri yenu na kutokuwa na dini kwenu.
   
 20. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #20
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mpolee ndiyo nani huyo?
   
Loading...