Yamenikuta! Naambiwa fimbo yangu iko mbali nikubali yaishe!
Matatizo ya maisha yametufanya mimi na mke wangu tukubali ushauri wa rafiki yangu wa kumruhusu mke wangu akatafute kibaruwa umangani...
habari wanajf,
nina rafiki ambaye tunachukuliana kama ndugu,ila undugu unaharibika sehemu moja tu,na jamaa/boyfriends wake.Nimekuwa nikisumbuliwa na kila jamaa anaekuwa nae,na mara jamaa akianza...
Wakuu, nadhani tuwe na uzi utakaotusaidia materials kuhusu mapenzi, mahusiano and related matters! Knowledge is power.
1. Love to dare. Hiki ni kitabu cha kikristo kinachoonesha how married...
Tulikuwa tumetoka outing kwa ajili ya kupata winywaji na kubadilishana uzoefu, na katika mazungmzo yetu tulifikia mahali tukajikuta tukizungumzia masuala ya familia na hapo ndipo aliponijulisha...
Kwa wahusika wote,
nataka na ninapenda mashuga mamy,yaani I don't feel to be with Girls coz ni Wazinguaji sana,halafu waongo katika Mapenzi na wezi wa mifukoni. Hivyo Sasa,nikiwa serious kama...
niliachana na mchumba wangu miezi 3 iliyopita baada ya kumfumania akiwa na kishanshuda po mwingine. niliumia sana ukizingatia alikua keshantolea mahari na tulikua kwenye process za kufunga ndoa...
Wadau ninashukuru kwa michango yenu yote.....,kila aliyechangia nimemuelewa,
Pili nasikitika sana sikuwa hewani kwa muda kutokana na masuala ya kikazi hivyo sijaweza kuwajibu kwa wakati...
enyi wanaume wenye nyumba ndogo,nawashauri kuwa,mnapoamua kuzaa na hao nyumba ndogo zenu,jitahidini kwenda kupima DNA baada ya mtoto kuzaliwa la sivyo mnatunza watoto wa wenzenu! kama hamjui hizo...
Kama uchovu na ukosefu wa usingizi ndivyo vinavyowafanya wanawake ambao wamejifungua karibuni kutoshiriki kwenye tendo, hapa kuna sababu nyingine ambayo pengine ni muhimu zaidi.
Ni ipi hiyo...
Huyu m2 ni vip or ndo utoto unamsumbua ni demu wangu but sijawahi mshika hata mkono nikitaka kumkiss ananiambia hadi amalize form six daa au ni PCB inamchanganya embu naombeni msaada kuhusu uyu mtu!
Wanajamii hasa wanawake nataka kupata maoni yenu juu ya adhabu ambayo utampa mume0 ikiwa "kateleza" katembea na mdogo wako wa tumbo moja baba mbalimbali ukiwa mjamzito karibu na kujifungua!ukajua...
Wana JF siku zote wanaume ni wabunifu sana. Siku hizi wanaume wanaopenda kuchukua wale wanawake ambao wanakuwa na makubaliano ya wakishamaliza majamboozi wanawalipa, sasa kinachofanyika mwanaume...
Imeandikwa kwenye The Guardian on Sunday (1 Apr 2012) [siamini kama hii ilikuwa inahusiana na 'Fools Day prank] kwamba karibu asilimia 50% ya wanaokwenda kuangalia kama ni 'biological fathers'...
Mwalimu vs bankteller, yupi wife material?
Hebu check ratiba za kila siku za mwalimu na bankteller.
MWALIMU;
Anaamka saa 12 asbuhi, anasafisha nyumba nakutengeza...
Picha haihusiani na habari hii................
Hebu tuchukulie kwamba, uko kwenye mizunguko yako mahali fulani kwenye mji unamoishi. Mara unamwona mumeo au mkeo, au inawezekana ni mpenzi wako...
READ BELOW BEFORE LISTENING
The story is this: a girl was out with friends having drinks on King St (in Toronto ). This guy approaches her and won't leave her alone -saying how cute she is...
Naomba mwanamke mwenye sifa hizo mwenye kazi au asiye na kazi ajitokeze lakini hobi apende ngono kuliko kitu kingine na awe mwaminifu!aniambie yuko wapi,mie ninamhakikishia matunzo na mapenzi ya...