Mwalimu vs bankteller.

zimwimtu

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
1,988
1,095
Mwalimu vs bankteller, yupi wife material?

Hebu check ratiba za kila siku za mwalimu na bankteller.

MWALIMU;

  1. Anaamka saa 12 asbuhi, anasafisha nyumba nakutengeza breakfast.
  2. Anawaandaa watoto kwenda shule , coz wanaendasaa 1:00 asbuhi
  3. Anapata breakfast, anajiswafi af anatoka homekwenda kazini saa 1:30 asbuhi, coz anaishi meter 500 kutoka shule anayofundisha hapombezi mwisho.
  4. . Anatoka kazini saa 8 mchana na kufika home saa8:20 coz anatembea tu mpaka home. (hatumii nauli)
  5. . Anafika home anakuta house girl keshapika lunch,anapata lunch na kupumzika kidogo akiwasubiri watoto warud kutoka shule. Bado wanasomaprimary (international) so hawasomi shule anayofundisha yeye.
  6. Wakifika watoto anawapa chakula af anachekimaendeleo yao ya shuleni. Kuwafundisha kidogo na kukagua madaftari.
  7. . Saa 12 jion anaingia jikoni kupika dinner,akisaidiana na house girl .
  8. Mme akirud saa 2 usiku (coz yeye anafanya kaziposta) anapokewa na kupewa coffee kidogo, kuandaliwa maji ya kuoga na baadaekupata dinner.
  9. Saa 3 watoto wanalala, yeye na mme wakewanaangalia tv kidogo sebuleni afwanahamia chumbani.
  10. Chakula cha usiku mme anapewa bila matatizo (yaaniushirikiano 100%)

BANKTELLER:
i. Anaamka saa 10:30 alfajili, anajiswafi na kuwahidaladala coz anafanya kazi NBC ya posta.Anawahi foleni kutoka mbezi mwisho mpaka posta si mchezo. Hajapata mkopo wagari, si unajua mshahara wa bankteller tena. Breakfast atapata kazini.

ii. Akikaa pale dirishani, kutoa na kupokea pesa,mpaka saa 7 mchana ndo anageuza kale ka ubao( TEMPORARY CLOSED) ili akapatelunch. 20 minutes kesharudi kuendeleampaka saa 10:30 jioni.

iii. Saa 11:00 mpaka saa 1:00 usiku wanafungamahesabu ili waondoke.

iv. Kutoka hapo bank mpaka kituoni, kupanda garimpaka mbezi mwisho saa 3 usiku. Coz folenila jangwani, ubungo mataa mpaka mbezi ni noumer.

v. Anakuta watoto washalala, house girl ndoaliwashughulikia kila kitu. Na yeye ndo kachoka balaa.

vi. Mme wake anafika dakika 40 baadae, wanakula nakwenda kulala.

vii. Chakula cha usiku hajisikii kabisa coz kachoka,af ana stress amepata shoti ya sh 70,000.wakati anatoa na kupokea pesa.

Katika rabita hizo hapo juu, nanianafaa kuwa mke.??
 
Yeyote mwenye upendo wa dhati kati ya hao, atakufaa! Ratiba na ugumu wa kazi ni mpangilio, mnaweza kukaa na kupanga jinsi ya kuyamudu mahusiano yenu na kulea familia. Wapo walioolewa na mabaharia, wako madaktari bingwa, full time wanapiga oparesheni lakini wana familia zao nzuri tu .....:biggrin:
 
Matatizo ya bank teller yanatokana na usafiri, kama wewe ni mwanaume wa kuaminika mnunulie mama mchuma au uwe unamdrop mwenyewe. Problem solved.
 
Bila kusoma hayo maelezo yako mwisho wa siku nataka mwanamke alie mke wangu mimi ndie nimkute nyumbani sio kinyume cha hapo.
Banktellers robotatu wameolewa na kazi yao robo na mumewe!
Mwalimu ndio mpango mzima. Mambo ya budget, usafi, utunzaji wa familia kwenda mbele!
 
do what you want and what you wish to do,kama kweli unampenda utamlinda kama ratiba yake iko tait sio lazima aajiriwe serikalini mfungulie kampuni binafsi atoke mda unaotaka wewe problem solved.
 
Mabenk teller wa kibongo nyodo na visirani vitupu, ni muhali kukutana na benk tela mstaarab..kama kuoa huko its a big no..heri kubaki singo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom