duh hata mimi i am afraid mbaya mwezi june naoa na proccess zishaanza nimejaribu kusitisha imeshindikana yaan wamekaza kamba naogopa kuoa, i am afraid kuwa mtu mwingine am happy jinsi nilivyo najua marriage itanibadilisha
.duh hata mimi i am afraid mbaya mwezi june naoa na proccess zishaanza nimejaribu kusitisha imeshindikana yaan wamekaza kamba naogopa kuoa, i am afraid kuwa mtu mwingine am happy jinsi nilivyo najua marriage itanibadilisha
Kuoa juha ndo hofu kubwa.
hahaha kabisa yan kongosho, chosing a wrong partner ni biggest mistake ktk maisha hapo tuu....!
kuliko ilo bora ubaki pekeako tuu.
Yaani hapo ndo penye mtihani kuliko hata wa uprofesa.[/QUOT
mmh ila watu siku izi wana udhubutu si wanawake si wanaume, akiona giza anaachia ngazi mapema..... ...!
duh hata mimi i am afraid mbaya mwezi june naoa na proccess zishaanza nimejaribu kusitisha imeshindikana yaan wamekaza kamba naogopa kuoa, i am afraid kuwa mtu mwingine am happy jinsi nilivyo najua marriage itanibadilisha
Mtihani huu nimeamuwa kuu postpone until further notice!!......Yaani hapo ndo penye mtihani kuliko hata wa uprofesa.