Jamani naombeni mbinu za kumtania mtu wangu,yaani siwezi utani kabisa,niko serious 2. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani naombeni mbinu za kumtania mtu wangu,yaani siwezi utani kabisa,niko serious 2.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by FADHILIEJ, Apr 3, 2012.

 1. FADHILIEJ

  FADHILIEJ Senior Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wadau ninashukuru kwa michango yenu yote.....,kila aliyechangia nimemuelewa,

  Pili nasikitika sana sikuwa hewani kwa muda kutokana na masuala ya kikazi hivyo sijaweza kuwajibu kwa wakati walioniuliza maswali kadhaa ambayo ni ya msingi sana.

  Mawazo na michango yote mliyonipatia ninaifanyia kazi.

  [FONT=&quot][/FONT]
   
 2. w

  wakupita Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  Mlete kwangu mi ntajitolea kumtania on ur behalf afu we jioni ukija unamkuta na furaha unamchukua au vp buuuuuuure kabisa!
   
 3. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 1,185
  Trophy Points: 280
  mwambie akupe sifuri.......................
   
 4. FADHILIEJ

  FADHILIEJ Senior Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo hujatatua tatizo,yuko very complecated hapa natafuta shule kiukweli
   
 5. FADHILIEJ

  FADHILIEJ Senior Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  huo ni utani au vita........
   
 6. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  humtaakiii mema mwenzio:dizzy:
   
 7. FADHILIEJ

  FADHILIEJ Senior Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nimemsamehe bure hajui asemalo,
   
 8. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  mlete kwang nimchekeshe usiku ,mzima asubuhi we unakuja mchukua
   
 9. FADHILIEJ

  FADHILIEJ Senior Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nadhani nimepotea njia---kwaheriniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 10. P

  Pure Mathematics Senior Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nenda kule jokes utapata vitu
   
 11. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,610
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh kacheki bandama kama vipi, au vipi utekenywe eeee mpaka ucheke bana we vipi uwe nautani kidogo sio serious kama mjeshi ndo nini sasa.
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  nawia konyagi, uso unachekesha automatik.
   
Loading...