Hivi tatizo hasa ni nini kwenye hili?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Imeandikwa kwenye The Guardian on Sunday (1 Apr 2012) [siamini kama hii ilikuwa inahusiana na 'Fools Day prank] kwamba karibu asilimia 50% ya wanaokwenda kuangalia kama ni 'biological fathers' wamekuta kuwa wanalea watoto sio wao; pia kati ya watu wanaopima virusi vya ukimwi, karibu asilimia 40% ya waathirika ni wana-ndoa.

Je, hii institution ina tatizo gani? Je, nani katika hii institution - mwanaume au mwanamke - ni chanzo cha haya matatizo mawili ambayo yanaletwa na kukosa uaminifu?
 
mmmmh...ivi "single boy" naweza nikawa na mchango hapa kidogo?

chanzo tunajua ni ukosekanaji wa UAMINIFU...ishu ya nani sio mwaminifu inabaki kujitegemea...anaweza kuwa mwanaume au mwanamke...na nyuma ya huo upungufu wa uaminifu kuna factors kibao...ni moto unaowaka huko ndani ya ndoa...sisi tunaona MOSHI tuu!...
 
About issue ya DNA ya kujua kama ni biological father au lah kwa hapa Tz nina wacwac kidogo na machine wanazo2mia. Kuna kipindi flani kwnye radio wa2 walikua wanacomplain kua asilimia kubwa ya results hua zinaonyesha mtoto co wa baba hata kama mtoto anafanana na baba ake..
 
Ishu ya mtto ni mama wa kulaumiwa.hata ivyo wanawake wamekuwa cheap sana siku hizi ukimpa lunch ama dinner ushamalza kila kitu wanakamatika kirahis kama kuku wakisasa kuku wa kienyej unaweza mtega anaruka mtego
 
Ishu ya mtto ni mama wa kulaumiwa.hata ivyo wanawake wamekuwa cheap sana siku hizi ukimpa lunch ama dinner ushamalza kila kitu wanakamatika kirahis kama kuku wakisasa kuku wa kienyej unaweza mtega anaruka mtego

nimeisoma hii..nikacheka kwa kupayuka...just by default!
 
the conclusion to be drawn here is that u are better off sleeping with a prostitute than ur wife!!!!
 
Back
Top Bottom