Tusahau yaliyopita

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,532
1,822
habari wanajf,
nina rafiki ambaye tunachukuliana kama ndugu,ila undugu unaharibika sehemu moja tu,na jamaa/boyfriends wake.Nimekuwa nikisumbuliwa na kila jamaa anaekuwa nae,na mara jamaa akianza harakat zake nimekuwa nikimfahamisha,soon nikimfahamisha ushoga unaisha,atakaa baada ya miezi kadhaa kupita utaona anaanza kunitafuta tena na kuniambia alipitiwa na shetani,nikiwa nakimbia kutambulishwa shemejiz analalama kwanini sitaki kumwona jamaake mpya,kumbe mimi nafanya vile kuepusha wasiwasi kwake.
Sasa hii imekuwa kama mchezo,huyu wa last time,sikuwahi kumwona alitambulisha kupitia picha ambazo tumepiga,na pia alikuwa akinikol kupitia simu ya jamaa(huyo best frend wangu).jamaa akaanza kunisumbua kupitia simu akidai anataka kuniona km shemej,baadae akaanza kumwaga sera hapo hajawahi niona.Kitendo cha kumwambia shost tumekaa zaid ya mwaka naaa....hatuna mawasiliano.Jana kanitext vile vileTUSAHAU YALIYOPITA,NILIKUCHUKIA BURE RAFIKI YANGU,WW NI RAFIKI WA KWELI,UNANIPENDA,TUANZE UPYA UNDUGU WETU,.......nimechoka wanajf
Nisaidieni mawazo,mimi sipendi aishi kiwasiwasi na mahusiano yake,napenda awe na aman,je sahizi nimpotezee au nifanyeje hiyoo mindume yake iache kunifatafata,?
Asanten....kwa wewe utakae nikashifu naomba roho yako ikusute kabla hujaandika.

alamsiki:heh:
 
Ni vyema ukamsamehe mkaendeleza urafiki wenu lakini jitahidi kupunguza ukaribu na mashemeji,coz ukaribu hua unaleta mazoea yaliyopitiliza..
 
Ni vyema ukamsamehe mkaendeleza urafiki wenu lakini jitahidi kupunguza ukaribu na mashemeji,coz ukaribu hua unaleta mazoea yaliyopitiliza..
huwa sina ukaribu kabisa na mashemeji...na naikimbia sana hiyo
 
Inaonekana kila siku kesi. . .Ana majamaa wengi ehhhh?
Ukiangalia wewe na rafikiyo je unamzidi chochote? (Uzuri, kichwa, umbo, sauti, uongeaji)
 
Mmmh undugu gani huo wa kurenew kila mwaka, kama anakuchukulia kama ndugu, ndugu hamkatai ndugu yake whatever case. Mpotezee kabisa, au usiweke ukaribu wa zaidi, hajakomaa kiakili.
 
Msamehe lakini ushoga basi baada ya salam usijichanganye na hadith zake za mabwana akianza hayo wewe kausha na wala usitake kujuana nao...
 
dah, huyo rafikiyo ananikumbusha enzi zile za shirika la ugawaji... jamaa wanajigongea tu kwa raha zao
 
Nisaidieni mawazo,mimi sipendi aishi kiwasiwasi na mahusiano yake,napenda awe na aman,je sahizi nimpotezee au nifanyeje hiyoo mindume yake iache kunifatafata,?
Asanten....kwa wewe utakae nikashifu naomba roho yako ikusute kabla hujaandika.

Vaslay jiamini kabisa hakuna wakukusuta..............but it is very true that no one can be you why then bother us with questions which you ought to answer them yourself?
 
Inaonekana kila siku kesi. . .Ana majamaa wengi ehhhh?
Ukiangalia wewe na rafikiyo je unamzidi chochote? (Uzuri, kichwa, umbo, sauti, uongeaji)

Kumbe mpenzi wangu lizzy wewe ni mtaalamu wa kujipima.................halahala ukajipa maksi nyingi kulikoni nilizokupatia.......lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom