Haka kamchezo kanafurahisha kweli, ni mambo ya m-pesa, tigo pesa na wengineo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haka kamchezo kanafurahisha kweli, ni mambo ya m-pesa, tigo pesa na wengineo.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Babuu Rogger, Apr 1, 2012.

 1. B

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 80
  Wana JF siku zote wanaume ni wabunifu sana. Siku hizi wanaume wanaopenda kuchukua wale wanawake ambao wanakuwa na makubaliano ya wakishamaliza majamboozi wanawalipa, sasa kinachofanyika mwanaume anamchukua mwanamke na kuanza kumpa kinywaji si unajua tena mambo yetu yale, sasa mambo yakishaanza kukolea anamtumia pesa 50,000/= au 100'000/= kwa njia ya m-pesa au tigo pesa pale pale walipo na sms inajibu pale pale kwamba mshiko umeingia na wakimaliza majamboozi atakwenda kuchukuwa atakakokwenda. Sasa mwanaume atatoka kama anakwenda toilet vile kisha anapiga huduma kwa wateja na kuwaomba wamrudishie pesa yake kwani amekosea namba aliyotuma, si unajua tena na jamaa walivyo fasta wanarudisha pesa kama ilivyo na ile msg ya kwa mwanamke inabakia kama ilivyo kwamba a/c yake ina mshiko. Sasa asubuhi wakati wameshamalizana mwanamke anatoka kwenda kuchukuwa mshiko wake na anakuta a/c haisomi na alishatoa huduma kwa ujasiri mkubwa. Hapo sasa ndipo huwa tunasema kweli akili ya mwanaume mwenyezi Mungu kaijenga.mchana mwema.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  laki moja ni kilo ngapi za mchele kwa wanao?
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Unaitwa kule chit chat.
   
 4. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Aisifiae mvua..................!
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  athante,umeniongezea maujanja
   
 6. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,314
  Likes Received: 2,974
  Trophy Points: 280
  Itakuwa imemnyeshea si bure.
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Aisee!hzi akili tungezitumia kwa mambo ya kimaendeleo tungekua mbali sana sa hzi.
   
 8. B

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 80
  we acha tu.
   
 9. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Na huyo dada anatakiwa akishaipokea hiyo hela na yeye hapo hapo anaiamishia kwenye namba nyingine hapo hapo au ana-cash kabisa muda huo huo
   
 10. bg_dg_dy

  bg_dg_dy JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 60
  Nishawahi kumfanyia demu wangu moja mtoto wa aliyewahi kuwa kibopa mkubwa hapa tz
   
 11. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mbna wabongo wabunifu?
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  siku hizi akisha ipokea tu anaihamisha kwenye namba nyingine au kwenye akaunti yake.........

  Ila hii haya wafanyabiashara wamelizwa kwa style hii
   
 13. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  THANKS BOSS............. na kwa starehe ipi??? ya dk 5 na majasho na magonjwa na fadhaa??
   
 14. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wajinga ndio waliwao....
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ukiona manyoya............
   
 16. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ujue kishaliwa huyo.......................................!

   
 17. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Weeee……!! Don't try this @ home…kwa customer care gani hapa ya kucheza na shilingi chooni kiasi hicho?! Labda uwe na kahaba mwenzako pale customer care/call centre ambae anajua ABC ya mchezo wako kiasi kwamba ukisha-risk tu huo mkwanja unampigia kwenye namba yake ya kiganjani halafu ana-reverse on the spot, otherwise, hadi simu yako inakuja kupokelewa tayari utakuwa ushaliwa….labda kama umezoea kufupia! "V" anahitaji huduma zako….!!!


   
 18. Mawaiba

  Mawaiba JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu nakupa cheo cha 'Profesa wa Usanii'. Ila kama hujaridhika nawaachia mashababi wa jf. Ila mimi lazima niitumie hii technic. Just in order to discipline them.
   
 19. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hahah hili ni uwongo mtupu...malaya anatakaga cashh tuu!!!!
   
 20. R

  Ras wakambo Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hata kama mtoto wa vibarua tutajuaje
   
Loading...